Mambo ya kitoto toto kila saa, sawa msafara ni mrefu sana sasa tuonyeshe video clips ambazo walao Javellin moja ilikuea inalipua kifaru zaidi ya kumoja na kuzuia msafara usimame - sisi tulikuwa tunaona msafara unaendelea kama kawaidi vinalipuliwa vifaru kimoja au viwili,lakini sio kwa wingi kivile mambo yote yalikuwa yanaonekana kwenye luninga bwana, damage ya zana za kivita za Urusi ulikuwa ndogo sana ndio maana zana karibu zote pamoja na wanajeshi wa Urusi waliwasili nchini Belorussian bila wasi wasi.