Urusi yalalamikia Marekani kuhusu mashambulizi ya drones zinazopiga Moscow

Urusi yalalamikia Marekani kuhusu mashambulizi ya drones zinazopiga Moscow

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani Urusi inanikumbusha kitambo tukiwa wadogo, kuna mtoto wa ushuani ilikua yeye anaruhusiwa kutuchokoza ila tukimgusa tu inakua shughuli, "jameni msimguse mvumilieni kwenye uchokozi wake ndivyo alivyo......"

========================================

(Reuters) - Washington is encouraging Kyiv by publicly ignoring the drone attack that struck several districts of Moscow on Tuesday, Russia's envoy to the United States said on Wednesday, after President Vladimir Putin blamed Ukraine for the strikes.

The White House said it did not support attacks inside of Russia and that it was still gathering information on the incident, which Putin called an attempt to scare and provoke Moscow.

"What are these attempts to hide behind the phrase that they are 'gathering information'?" Anatoly Antonov, the ambassador, said in remarks published on the Telegram messaging channel.

"This is an encouragement for Ukrainian terrorists."

Putin on Tuesday cast the assault, which brought the 15-month war in Ukraine to the heart of Russia, as a terrorist act. Ukraine also accuses Russia of terrorism for its bombing of Ukrainian civilians, allegations Moscow denies.

Daah hii vita inakokwenda ni ngoma ndani ya ngoma yaani Urusi anaanza nae kupigwa Moscow na pia pana waasi ambao ni Warusi ila hawataki Vita shida ndio inaanzia hapo kupambana na Waasi harafu muda huo huo na Zelensky.

Niliona wanajeshi wa Warusi wakikimbia Bahkmut baada ya kuona drone aisee ni hatari sana kila mtu alikua anaokoa maisha yake ingawaje baadae baadhi walilipuliwa na drone baada ya kudhani wamejificha kwenye kichaka walitupa makoti wakidhani hawatatambulika..
 
Njia bora ya kupigana vita ni meza ya maridhiano ili kuzuia vita isitokee.

Vita huwa ina athari pande zote hivyo ili kuepuka hayo meza ya maridhiano ndo suluhisho.

Bomu likikutembelea halichagui kuwa wewe ni beberu au kapuku linakushughulikia tu.
 
Putin aliombwa maridhiano tangu mwanzo, yeye imekua mwendo wa kutuma mabomu kwenye nchi ya watu, na asichokijua ndani Urusi kwake kuna idadi kubwa ya Warusi hawataki hivi vita na wapo tayari kumhujumu muda wowote.

Kwa kifupi aiache nchi ya watu, apunguze ego/kiburi kisha ageuze aendelee na mengine japo sidhani kwa sasa kama hata akigeuza itakua salama kwake, yaani yupo kwenye pale wazungu hupaita "You're damned if you do and damned if you don't".

Amesababisha vifo vya maelfu ya vijana wa Urusi, lazima atolee majibu nyumbani kama akiamua kugeuza.
 
Putin aliombwa maridhiano tangu mwanzo, yeye imekua mwendo wa kutuma mabomu kwenye nchi ya watu, na asichokijua ndani Urusi kwake kuna idadi kubwa ya Warusi hawataki hivi vita na wapo tayari kumhujumu muda wowote...
Alichokitafuta ameanza kukipata, bora uwe mnyonge asiyependa shari kama Uswisi hakika utaisha vema kuliko kutafuta usupapawa wa mchongo.
 
Ni kawaida kulaumiana katika vita! Hapo Russia anatafuta uhalali wa kuendelea kuipiga Ukraine.
Vita sio mkate wa kila siku eti uukimbilie bali na janga linalopaswa kuepukwa kwa gharama yoyote ile.

Hata ukishinda vita ila unabaki na mapengo mengi either kiuchumi, kisiasa, kijamii et al.

Hivyo epeka vita siyo chakula hicho
 
Daah hii vita inakokwenda ni ngoma ndani ya ngoma yaani Urusi anaanza nae kupigwa Moscow na pia pana waasi ambao ni Warusi ila hawataki Vita shida ndio inaanzia hapo kupambana na Waasi harafu muda huo huo na Zelensky...niliona wanajeshi wa Warusi wakikimbia Bahkmut baada ya kuona drone aisee ni hatari sana kila mtu alikua anaokoa maisha yake ingawaje baadae baadhi walilipuliwa na drone baada ya kudhani wamejificha kwenye kichaka walitupa makoti wakidhani hawatatambulika..
We unajuaje kwamba uliyo yaona yana ukweli ndani yake na si clips za kughushi??
 
Huna jipya,, endeleea tu kutumia mbolea ya donation, Huna cha kutwambia tukakuelewa.
 
Hili swala la Urusi kulalamika anaposhambuliwa mi mwenyewe linanichanganya, kwa Ukraine hana haki ya kumshambulia Urusi?!!
Hizi dhana za kufikiri Zelensky ana haki ya kituniana misuli na Super Power ndio lotaichakaza Ukraine nzima back to STONE AGE ERA na raia wengi kupoteza maisha

Mbona tangu mwanzo mambo yalikuwa simple sana: Urusi kutokana na kuwa concern na usalama wake ilisema Ukraine hasijiunge na NATO - simple and clear, mwanzo Zelensky alikubaliana na masharti ya Urusi, baadae Boris Johnson pamoja na Biden wakamwambia Zelensky hasikibaliane na masharti ya Urusi, wao watampatia misaada ya kijeshi na silaha - hivi kwa akili za kawaida US/NATO wanafikiri Ukraine pamoja na misaada lukuki kutoka magharibi wanaweza kweli kuishinda kivita Urusi???
 
Russia ni nani mpaka iamue nani ajiunge na Nato na nani asijiunge ebu atuondokee hapa racists wakubwa hao.
 
Daah hii vita inakokwenda ni ngoma ndani ya ngoma yaani Urusi anaanza nae kupigwa Moscow na pia pana waasi ambao ni Warusi ila hawataki Vita shida ndio inaanzia hapo kupambana na Waasi harafu muda huo huo na Zelensky...niliona wanajeshi wa Warusi wakikimbia Bahkmut baada ya kuona drone aisee ni hatari sana kila mtu alikua anaokoa maisha yake ingawaje baadae baadhi walilipuliwa na drone baada ya kudhani wamejificha kwenye kichaka walitupa makoti wakidhani hawatatambulika..
Naomba hiyo clip mkuu , nafurahi sana napoona Warusi wanachapwa
 
Njia bora ya kupigana vita ni meza ya maridhiano ili kuzuia vita isitokee.
Vita huwa ina athari pande zote hivyo ili kuepuka hayo meza ya maridhiano ndo suluhisho.

Bomu likikutembelea halichagui kuwa wewe ni beberu au kapuku linakushughulikia tu.
Na njia nzuri ni Urusi kuondoka Ukraine
 
Back
Top Bottom