MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Hizi dhana za kufikiri Zelensky ana haki ya kituniana misuli na Super Power ndio lotaichakaza Ukraine nzima back to STONE AGE ERA na raia wengi kupoteza maisha
Mbona tangu mwanzo mambo yalikuwa simple sana: Urusi kutokana na kuwa concern na usalama wake ilisema Ukraine hasijiunge na NATO - simple and clear, mwanzo Zelensky alikubaliana na masharti ya Urusi, baadae Boris Johnson pamoja na Biden wakamwambia Zelensky hasikibaliane na masharti ya Urusi, wao watampatia misaada ya kijeshi na silaha - hivi kwa akili za kawaida US/NATO wanafikiri Ukraine pamoja na misaada lukuki kutoka magharibi wanaweza kweli kuishinda kivita Urusi???
Sasa tunapiga ndani kila siku Ukraine washambulia mji wa Shebekino, Urusi kwa makombora, Urusi ndani ndani