Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi walitishia kwamba wapo radhi kutumia nyuklia kulinda maeneo ambayo walijimegea kutoka kwa Ukraine, leo wanalialia.

Hivi vita ni hatari na vinaweza vikabadilika muda wowote, ifahamike hao Ukraine walikua na silaha za nyuklia na walikubali kuziacha baada ya Urusi kuahidi kwamba haitokuja siku iwavamie, leo hii Urusi imekiuka hiyo ahadi, kwa kifupi ikumbukwe kwamba Ukraine bado wana uwezo huo wa mabomu hatari, na kama wakifikishwa ukingoni watalazimika kuyatumia....

Muda umefika Putin aache uchizi aachane na nchi ya watu arudishe wanajeshi wake nyumbani maana tunakokwenda hapafai....hata waarabu wa Bongo mnaounga mkono Urusi iko siku mtajikuta mnamchukia Putin..

==========================
Russia call on the West to influence Ukraine to abandon plans of the possible use of a ‘dirty bomb’ and nuclear blackmail, Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova told a briefing on Thursday.

“We call on the West to influence its Ukrainian proteges to abandon this highly dangerous risky undertaking. And not only this one, but all those steps, activities and actions that involve nuclear blackmail, since all this leads to irreversible consequences and possible mass deaths of innocent civilians,” she said.

Radiation has no borders, she stressed. “It does not need passports, visas or permissions. It cannot be sanctioned and prevented from crossing the border. It is much more insidious and does not ask anyone’s permission to penetrate anywhere and critically affect people’s health,” the diplomat added.

Head of the Russian Radiation, Chemical and Biological Protection Forces Lieutenant General Igor Kirillov told reporters on Monday that the Russian Defence Ministry alerted its troops to be ready to act In conditions of radioactive contamination, because it had obtained information that Kiev is preparing to detonate a dirty bomb.

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov has also said that there’s a dirty- bomb risk. Russia has raised the issue at the UN Security Council. Russian Defence Minister Sergey Shoigu has held telephone conversations with his counterparts in the UK, US, Turkey and France to warn about the threat from Ukraine. Washington, London and Paris have said, however, that they don’t believe Russia.- TASS

MSN
 
Wewe ndo chizi, urusi bado ajatumia mabom hatari, anatahadharisha tu huyo jamaa akianza ajue kwisha Habari akianza kujibu

Baada ya kura ya maoni, Putin alitangaza hayo maeneo kuwa sehemu ya Urusi na yupo tayari kutumia hata nyuklia kuyalinda, ila Ukraine waliendelea kutembeza kichapo na kuendelea kuyaingia, sasa leo Urusi inaanza kulalamika na kuogopa eti Ukraine wanaweza wakatumia mabomu hatari.

Mnachopaswa kufahamu nyie waarabu wa Bongo, hao Ukraine ni taifa lenye ujuzi wa nyuklia, wana madude yao ya siri na wakifikishwa ukutani wanaweza wakaamua liwalo na liwe...
 
Hakuna developed country isiyokuwa na nuclear, issue ni, nani anaweza thubutu itumia?

Kwa uelewa wako mdogo ngoja nikupe mfano:

Au ngoja niache, hutaelewa
 
Wewe ndo chizi, urusi bado ajatumia mabom hatari, anatahadharisha tu huyo jamaa akianza ajue kwisha Habari akianza kujibu
We umejibu kwa maoni yako au kutokana na alichokisema huyo msemaji wa wizari ya mambo ya nje ya Urusi?! Wapi Urusi imesema Ukraine akianza tu wao watajibu, wapi wametahadharisha? Ukisikia kukurupuka ndio hivi, alafu unamwita mwenzio chizi hahaha.

Next time try to put yourself on the context
 
Washabiki wenzangu wa RUSSIA hivi Putin kashikwa na nini mbona anayo mabom mengi ya maangamizi alafu anaongea hivyo kwa kataifa kadogo, duuuh huyu superpower anatukwamisha washabiki wake.
Putin anatuboa sana mashabiki wake yaan kawa ka janamke la migomigo kutwa kutoa matamko na vidole juu na kukata uno feni badala amalize mchezo then ageukie vimbelembele wengine ka sweden, finland limebak kulialia ka jinga linatuaibisha sana hili zee.🙉🙉🙉🙉👻👻👻👻
 
We jamaa punguza Unazi.

Unajua Dirty Bomb ni nini?…

Umeelewa hiyo habari??

Urussi anaonya kuwa Ukrain wanapanga kutumia Dirty Bomb kwa akili ya false Flag. Yaani apige nchini kwake mwenyewe ili waje waishutumu urussi kimataifa kuwa ametumia Silaha ya Nuclear. Hiyo mbinu ilitumiwa ktk WW 2 (Pearl Harbour)
 
Washabiki wenzangu wa RUSSIA hivi Putin kashikwa na nini mbona anayo mabom mengi ya maangamizi alafu anaongea hivyo kwa kataifa kadogo, duuuh huyu superpower anatukwamisha washabiki wake.
Hizo Dirty Bombs Ukraine anataka kujipiga mwenyewe ili kumchonganishia Urussi kimataifa kuwa katumia Nuke.

Dirty Bomb haina mazara kama Atomic au Nuclear lakin itaacha Radioactive material hewani na aedhini so wakija Un na wachunguza watazikuta
 
Umeelewa maana ya Nuclear Blackmail ??

Au umekurupuka?..

Ukraine is trying to extract more financial and military aid from the US and other Western countries by using “nuclear blackmail,” possibly including the deployment of a dirty bomb against its own people to escalate the crisis in Eastern Europe, Russia’s Foreign Ministry suggested on Thursday.

Ukrain haiwez kuiNuke Russia. Inajulikana hii. Atafutwa kwenye Map na west hawatamtetea kama akianza yeye.

Waachotaka ni kujiNuke wao wenyewe ili West waigilie kumtetea.

Rudi shule
 
HAWA HAPA ALJAZEERA PIA, ACHA KUTULISHA MATANGO PORI:

Russia has accused Ukraine of planning to detonate a radioactive dirty bomb and blame it on Moscow.

Defence Minister Sergei Shoigu discussed the “rapidly deteriorating situation” in the Ukraine war in calls with NATO nations on Sunday.

Without providing evidence, Shoigu said Ukraine could escalate the conflict with a dirty bomb — a device that uses explosives to scatter radioactive waste. It does not have the devastating effect of a nuclear explosion, but it could expose broad areas to radioactive contamination.

“The purpose of the provocation is to accuse Russia of using weapons of mass destruction in the Ukrainian theatre of operations and thereby launch a powerful anti-Russian campaign in the world
aimed at undermining confidence in Moscow,” the RIA Novosti news agency said on Telegram.
“The calculation of the organisers of the provocation is that if it is successfully implemented, most countries will react extremely harshly to the ‘nuclear incident’ in Ukraine,” the post said. “As a result, Moscow will lose the support of many of its key partners.”

Kiazi wewe mwenye uzi
 
Hizo Dirty Bombs Ukraine anataka kujipiga mwenyewe ili kumchonganishia Urussi kimataifa kuwa katumia Nuke.

Dirty Bomb haina mazara kama Atomic au Nuclear lakin itaacha Radioactive material hewani na aedhini so wakija Un na wachunguza watazikuta
Yaan ukraine ajipige mwenyewe dirty bomb yaan awe tayari kupata madhara ya mionzi hatar ambayo itakaa miaka kibao na kudhuru waukraine?🤣🤣🤣🤣 eti kisa lawama ziende urusi 🤣🤣🤣🤣. Isije kuwa ni kinyume chake urusi anataka afanye yeye huo mchezo si ndiyo amekuwa akitishia nuklia mara kibao?? hapo ni russia ndiyo anataka kufanya huo mchezo na ameanza kuuongea kwa kumpaka matope ukraine ili akifanya aisingizie ukraine yaleyake ya kufanya tukio halaf wa kwanza kufika polis kutoa maelezo hasi kwa mbaya wako. russia wanaongea hiyo dirty bombs ya ukraine wakiambiwa watoe evidence wanashindwa🤣🤣🤣 wanabaki maneno tu.
 
Yaahh..

Wewe mkuu ndo Umeelewa Halafu umereason kikubwa.

Hicho ndo kitu hata west wanaogopa sasa kuwa usije ikawa ndo False Flag ya mrussi amwagie upupu mwenzake halaf Aseme niliwaambia.

Pia anategemea akimwaga upupu kuna watakaosita kwanza ili uchunguzi ufanyike. Itakuwa late
 
Yaan ukraine ajipige mwenyewe dirty bomb yaan awe tayari kupata madhara ya mionzi hatar ambayo itakaa miaka kibao na kudhuru waukraine?🤣🤣🤣🤣 eti kisa lawama ziende urusi 🤣🤣🤣🤣. Isije kuwa ni kinyume chake urusi anataka afanye yeye huo mchezo si ndiyo amekuwa akitishia nuklia mara kibao?? hapo ni russia ndiyo anataka kufanya huo mchezo na ameanza kuuongea kwa kumpaka matope ukraine ili akifanya aisingizie ukraine yaleyake ya kufanya tukio halaf wa kwanza kufika polis kutoa maelezo hasi kwa mbaya wako. russia wanaongea hiyo dirty bombs ya ukraine wakiambiwa watoe evidence wanashindwa🤣🤣🤣 wanabaki maneno tu.
Kaka taarifa za intelligentsia hazinaga evidence. Lakini hata kama Ukraine walipanga least nao wanajifikiria upya, I mean Russia wamesema wazi ili kuzuia Ukrain na plan yake. Kwan UN anaenda pia kukagua
 
Yaan ukraine ajipige mwenyewe dirty bomb yaan awe tayari kupata madhara ya mionzi hatar ambayo itakaa miaka kibao na kudhuru waukraine?🤣🤣🤣🤣 eti kisa lawama ziende urusi 🤣🤣🤣🤣. Isije kuwa ni kinyume chake urusi anataka afanye yeye huo mchezo si ndiyo amekuwa akitishia nuklia mara kibao?? hapo ni russia ndiyo anataka kufanya huo mchezo na ameanza kuuongea kwa kumpaka matope ukraine ili akifanya aisingizie ukraine yaleyake ya kufanya tukio halaf wa kwanza kufika polis kutoa maelezo hasi kwa mbaya wako. russia wanaongea hiyo dirty bombs ya ukraine wakiambiwa watoe evidence wanashindwa🤣🤣🤣 wanabaki maneno tu.

Ndio kitu ambacho alionywa hata na magharibi, aache kusema sema "dirty bomb" ilhali ni yeye ndiye amejiandaa kutumia kisha aseme Ukraine kajipiga.
 
Back
Top Bottom