Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

Hiyo ni vita mzee, anayeshinda na anayeshindwa wote huumia.

Unayevamia unaumia zaidi maana unaingia gharama kubwa kuendeleza ubabe kwenye nchi ya watu, huyu Mrusi aliikimbia Afghanistan, na hata Marekani akaikimbia Vietnam, sio rahisi kihivyo.
 
Back
Top Bottom