Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

Hamna cha kurekebishwa hapo, wewe ndiye umekurupuka kusoma bila kuelewa unajibu nini... ndio tatizo lenu waarabu wa Bongo.
Umerekebisha boss.. d You portrayed kuwa Russia wanaogopa Dirty Bomb kupigwa kwao.

Halafu Jikite kwenye hoja ndugu.
 
Wewe ndo chizi, urusi bado ajatumia mabom hatari, anatahadharisha tu huyo jamaa akianza ajue kwisha Habari akianza kujibu
Urusi saiv hana silaha anakodi ndege ambazo hazina rubani kutoka Iran baada ya ndege zake nyingi kuangushwa zikiwa na wanajeshi wake akaja na plan B ya kutumia ndege zisizo na rubani ambapo mpaka jana Ukraine wameripoti kuziangusha zaidi ya drones 300.

Urusi alikuwa superpower kabla ya vita, aliaminisha dunia kwa maneno mdomoni tu kwamba yeye ni superpower sasa kwenye uwanja wa vita ameonekana madhaifu yake miezi 8 tu anakodi ndege za kivita toka kwa jirani ambaye naye yuko taaban nafsi yake
 
We jamaa punguza Unazi.

Unajua Dirty Bomb ni nini?…

Umeelewa hiyo habari??

Urussi anaonya kuwa Ukrain wanapanga kutumia Dirty Bomb kwa akili ya false Flag. Yaani apige nchini kwake mwenyewe ili waje waishutumu urussi kimataifa kuwa ametumia Silaha ya Nuclear. Hiyo mbinu ilitumiwa ktk WW 2 (Pearl Harbour)
Mkuu dirty bombs zinaenda kuwasulubu mamluki waliotoka russia na kukalia Donbas kwamba ni eneo la nchi yao, lakini pia wahafidhina wanaotumiliwa na Russia ambao wamesimikwa na russia kuwa viongozi wa yale majimbo 4 ambayo sasa Putin anayo kwenye makaratasi tu, Kherson na miji ya Lyman tayari mikononi mwa wenyewe Ukraine lakin battle indaendelea kumtoa mvamizi arudi kwao alikotoka ndio mana putin analia lia, kwisha habari yake, toka vita inaanza anasogeza vinu vya nuclear na kuvifuta futa mavumbi hadi leo ameshindwa anamuongopa mnyama US.
 
Umerekebisha boss.. d You portrayed kuwa Russia wanaogopa Dirty Bomb kupigwa kwao.

Halafu Jikite kwenye hoja ndugu.

Wapi nimerekebisha, sijui kwanini waarabu mna matatizo hivi, mwenyewe ulijijazia na kujijibu, wapi nilitaja Ukraine wataipiga Urusi kwa nyuklia... Huwa mnakurupuka sana...
 
Mkuu dirty bombs zinaenda kuwasulubu mamluki waliotoka russia na kukalia Donbas kwamba ni eneo la nchi yao, lakini pia wahafidhina wanaotumiliwa na Russia ambao wamesimikwa na russia kuwa viongozi wa yale majimbo 4 ambayo sasa Putin anayo kwenye makaratasi tu, Kherson na miji ya Lyman tayari mikononi mwa wenyewe Ukraine lakin battle indaendelea kumtoa mvamizi arudi kwao alikotoka ndio mana putin analia lia, kwisha habari yake, toka vita inaanza anasogeza vinu vya nuclear na kuvifuta futa mavumbi hadi leo ameshindwa anamuongopa mnyama US.
Mbona unaongea pumba Sana? Kherson ni sehemu ya Russia milele
 
Ni ya Russia kwenye makaratasi tu na mafaili ya putini kule Kremlin otherwise mavamizi toka russia wamehama na raia wao katika mji wa Kherson baada kichapo kitakatifu?
Walihamishwa ili kupunguza vifo vya watu Kwa Sababu waukraine wanashambulia mji kwa makombora.Ila mji upo Chini ya warusi milele.alafu waukraine hawapo kherson.huo ni mji wa warusi milele watu watarudi mambo yakishatulia.
 
Ni ya Russia kwenye makaratasi tu na mafaili ya putini kule Kremlin otherwise mavamizi toka russia wamehama na raia wao katika mji wa Kherson baada kichapo kitakatifu?
Na nyie hamna la kufanya Rusia kashajikatia maeneo manono na hayarudi milele na huo mji tutaujenga kama Mariupol.
 
Wewe ndo chizi, urusi bado ajatumia mabom hatari, anatahadharisha tu huyo jamaa akianza ajue kwisha Habari akianza kujibu

Chechen leader Kadyrov admits high losses among unit in Ukraine​

Chechen leader Kadyrov said 23 of his fighters were killed and 58 others wounded in artillery shelling by Ukraine.

Published On 28 Oct 202228 Oct 2022
In a rare acknowledgement of battlefield woes in Ukraine, Chechen leader Ramzan Kadyrov has admitted to high losses in his ranks after artillery shelling by Kyiv’s troops.
“At the beginning of this week, one of the Chechen units was shelled in the Kherson region,” Kadyrov, a prominent ally of Russian President Vladimir Putin and the ruler of the Chechen Republic, said on Telegram late on Thursday.

“Twenty-three fighters have died and 58 have been injured.”
The Kremlin ally rarely reveals defeats but admitted that losses among his fighters, who are supporting Russia, were “big on that day”.
Ukrainian sources had reported earlier this week that a Chechen unit in the southern Ukrainian region of Kherson had given away its location via photos on social networks, which led to it being hit by artillery fire.
Kadyrov’s comments were unusual given that pro-Moscow forces have rarely admitted to major battlefield losses, and Russian officials do not publish figures on their own casualties.

The Chechen leader also called on his compatriots to be mobilised for the war in Ukraine.
Since the beginning of the Russian war more than eight months ago, Kadyrov has distinguished himself as one of the fiercest supporters of the conflict and has also sent his own units into Ukraine.
But he has regularly criticised the Russian army leadership – often in conjunction with the financier of the mercenary Wagner units, Yevgeny Prigozhin, for being too soft. Kadyrov has also called for the use of nuclear weapons against Ukraine.
Meanwhile, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy compared his country’s fight against Russia with the Nazi resistance in World War II, saying Moscow is pursuing the same goals as Nazism once did.

“The form of evil has changed, but the essence is unchanged,” Zelenskyy said in a video message broadcast in Kyiv on Thursday night.
Russia, he said, had gone from neighbour to aggressor to terrorist – and was guilty of war crimes.
SOURCE: NEWS AGENCIES
 
Walihamishwa ili kupunguza vifo vya watu Kwa Sababu waukraine wanashambulia mji kwa makombora.Ila mji upo Chini ya warusi milele.alafu waukraine hawapo kherson.huo ni mji wa warusi milele watu watarudi mambo yakishatulia.
Chini ya warusi kwenye karatasi lakini bendera zinazopepea kwenye milingoti ya Kherson ni za Ukraine
 
Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi walitishia kwamba wapo radhi kutumia nyuklia kulinda maeneo ambayo walijimegea kutoka kwa Ukraine, leo wanalialia.

Hivi vita ni hatari na vinaweza vikabadilika muda wowote, ifahamike hao Ukraine walikua na silaha za nyuklia na walikubali kuziacha baada ya Urusi kuahidi kwamba haitokuja siku iwavamie, leo hii Urusi imekiuka hiyo ahadi, kwa kifupi ikumbukwe kwamba Ukraine bado wana uwezo huo wa mabomu hatari, na kama wakifikishwa ukingoni watalazimika kuyatumia....

Muda umefika Putin aache uchizi aachane na nchi ya watu arudishe wanajeshi wake nyumbani maana tunakokwenda hapafai....hata waarabu wa Bongo mnaounga mkono Urusi iko siku mtajikuta mnamchukia Putin..

==========================
Russia call on the West to influence Ukraine to abandon plans of the possible use of a ‘dirty bomb’ and nuclear blackmail, Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova told a briefing on Thursday.

“We call on the West to influence its Ukrainian proteges to abandon this highly dangerous risky undertaking. And not only this one, but all those steps, activities and actions that involve nuclear blackmail, since all this leads to irreversible consequences and possible mass deaths of innocent civilians,” she said.

Radiation has no borders, she stressed. “It does not need passports, visas or permissions. It cannot be sanctioned and prevented from crossing the border. It is much more insidious and does not ask anyone’s permission to penetrate anywhere and critically affect people’s health,” the diplomat added.

Head of the Russian Radiation, Chemical and Biological Protection Forces Lieutenant General Igor Kirillov told reporters on Monday that the Russian Defence Ministry alerted its troops to be ready to act In conditions of radioactive contamination, because it had obtained information that Kiev is preparing to detonate a dirty bomb.

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov has also said that there’s a dirty- bomb risk. Russia has raised the issue at the UN Security Council. Russian Defence Minister Sergey Shoigu has held telephone conversations with his counterparts in the UK, US, Turkey and France to warn about the threat from Ukraine. Washington, London and Paris have said, however, that they don’t believe Russia.- TASS

MSN
Tafsiri yako ni tofauti na andiko, ungekuwa na hekima ungeunga mkono alichokishauri Russia. Tamko au ombi ni kwa fqida ya ulaya nzima kwa sababu Russia atalazimika kujibu kwanuzito huo huo ambao itakuwa hatari sio kwa Ukraine tu bali kwa ulaya nzima. Ikumbukwe kuwa vita inapiganwa Ukraine sio Russia hivyo bomu la hatari likipigwa, linapigwa ndani ya Ukraine. Ungeandika kwa hekima badala ya kuandika kishabiki.
 
Umekurupuka kujibu, haujatulia usome nilichoandika, hata hivyo Urusi aache kulialia aondoke kwenye nchi ya watu.
 
Wewe ndo chizi, urusi bado ajatumia mabom hatari, anatahadharisha tu huyo jamaa akianza ajue kwisha Habari akianza kujibu
Dogo ijue historia ya nyuklia ya Urusi na ukraine kwanza kabla ya kufikiri unajua. Unadhani Warusi wajinga kutahadharisha? Wanajua alichonacho M Ukraine.
 
Back
Top Bottom