Urusi yaomba mamluki wa Wagner wamkamate kiongozi wao

Sad for Africa.
Why?.....nchi ya Mali imewatimua majeshi ya EU hasa France iliyokuwa inaongoza Vita na makundi ya Jihad na kuwapa hiyo tenda Wagner sababu France wanaendeleza sera za kibeberu kwa nchi huru za kanda hiyo.
 
Anavuna au serikali za nchi husika zimewakaribisha? Tena zinawalipa
Anavuna rasilimali na kuziuza kwenye 'black market' (Kama malipo), tena anazisaidia nchi hizo kukwepa vikwazo vya silaha vya UN.
 
Why?.....nchi ya Mali imewatimua majeshi ya EU hasa France iliyokuwa inaongoza Vita na makundi ya Jihad na kuwapa hiyo tenda Wagner sababu France wanaendeleza sera za kibeberu kwa nchi huru za kanda hiyo.
Sasa Wagner nao si.wanavuna dhahabu tu pale,Hao Mali walitakiwa kuwafukuza France na kubaki wao Mali kama nchi.
 
Jihadist wanasumbua sana ukanda ule, baada ya France kutoka bado wasingeweza wao pekee kuziba pengo (bado hawana vifaa na uzoefu kuwakabili) , ndio tenda wakapewa Wagner.
 
Anavuna rasilimali na kuziuza kwenye 'black market' (Kama malipo), tena anazisaidia nchi hizo kukwepa vikwazo vya silaha vya UN.

Hiyo statement “anavuna rasilimali” , anavunaje bila ruhusa ya mwenyeji?

Yaani black leaders wenyewe ndio wanamkaribisha, wanaingia deal in exchange na service zao.

Hala mnalalamika wanavuna rasilimali, nani kawakaribisha?
 
Back
Top Bottom