Urusi yapeleka Tu 160 (Black Jack) Strategic Nuclear Bomber Sauth Africa

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Kwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa.

Update: Russia is sending several nuclear bombers to South Africa!! The deployment will include a Il-62, An-124, and Tu-160 strategic bomber aircraft.

It is noted that these aircraft will be landing on the African continent for the first time, specifically at the South African Air Force base Waterkloof in Pretoria.

IMG_20241030_170644.jpg
 
Hizi ndege zilipelekwa Venezuela pale marekani alipoa kama maji ya mtungini
Marekani kaanza drill za kutoroka mashambulizi ya Russia au Iran..

🚨Update: US Military held an emergency senior leader evacuation drill last night to prepare for a possible war with Russia and Iran!! Blackhawks were seen flying in and out of DC!!
 
Attachments

  • IMG_20241030_172925.jpg
    IMG_20241030_172925.jpg
    104.7 KB · Views: 3
Kesho mmarekani ataleta B-52 bombers pale kigamboni na kufunga MIFUMO ya THAAD Nairobi. UBAYA Ubwela
THAAD hatuitaki maana imeshindwa kuzuia nyumba ya Netanyahu isishambuliwe hata na drone 1 tu kutoka kwa vijana wa Houth (Yemen)

Drone inatembea zaidi ya kilometres 200 kutoka mpakani hadi katika mji mkuu na kupiga nyumba ya Netanyahu huku THAAD yako na Iron Dome hazijui kinachoendelea. Huu si ujinga kuiamini!!
 
Marekani kaanza drill za kutoroka mashambulizi ya Russia au Iran..

🚨Update: US Military held an emergency senior leader evacuation drill last night to prepare for a possible war with Russia and Iran!! Blackhawks were seen flying in and out of DC!!
Marekani kachelewa sana kujua kama dunia imebadilika
 
Nadhani ni muda mwafaka watumwe wale wazee wa Dasalama wakaishauri Marekani istaafu sasa kwa amani, ikajilie kiinua-mgongo chake ilichojilimbikizia kimabavu na mbavu tangu 1776.

Vinginevyo, sidhani itapata japo nafasi ya kufurahia dakika zake hizi za jioni. Bye bye America!
 
Kesho mmarekani ataleta B-52 bombers pale kigamboni na kufunga MIFUMO ya THAAD Nairobi. UBAYA Ubwela
Iran atatest hiyo THAAD muda sio mrefu
🚨Update: Area protected by the US THAAD anti-ballistic missile batteries, which are capable of engaging targets at ranges of 150 to 200 kilometers.

These US weapons, never used in combat, will be put to the test very soon!!
 
Attachments

  • IMG_20241030_175248.jpg
    IMG_20241030_175248.jpg
    108.5 KB · Views: 11
Ni kuwatafutia S.Africa matatizo tu.Kuanzisha ugomvi na dude kubwa kama USA bila mipango na nguvu-kamili nao ni ujinga mtupu!
Russia (USSR) pamoja na kuwa na mshikamano na mataifa mengi maskini ya Afrika kwa miaka mingi, hakuna nchi ya Afrika iliyowahi kunufaika na uhusiano huo kiasi cha kuondokana na umaskini. Mwisho wake na Urusi yenyewe ikaashia kufilisika na kwenda kuwapigia magoti mahasimu wake. Wakamchangia, ndiyo akanyanyuka.

GDP ya Urusi ni dola trillion 2, ya USA ni 24, ya China ni 13. Urusi hata angetamani kusaidia, hana huo uwezo kwani mapato yake bado ni kidogo sana ukilinganisha na mataifa mengine makubwa kama USA, Japan, China, na mataifa ya Ulaya Magharibi kama Germany.

Maskini hata mshikamane vipi, mtazidi kuimarisha umaskini wenu. Mataifa wajanja, kama South Korea, Hong Kong, Singapore, Taiwan, Saudi Arabia, Qatar, UAE, yaliamua kushikamana na USA, leo hayashikiki, wakati kule kwa Un Jong, hata TV kuwa nayo ni shida.

Afrika Kusini, isipoendesha siasa zake kwa ujanja na tahadhari, kuna siku inaqeza kugeuka na kuwa mfano mzuri kwa mataifa yaliyofika hatua fulani halafu yakadondoka mpaka jalalani.
 
Nani asiyejua kama USA ni mwizi na mnyonyaji mkubwa duniani
 
Mkuu, kama hilo shirikisho la BRICS halina athari yoyote dhidi ya Marekani, kwa nini huyo nduguyo anahaha na kuweweseka BIG TIME kila asikiapo majina ya Urusi na China yakitajwa kwenye sentensi moja?
 
🤣🤣yani ni vichekesho vitupu
Hivi wewe unaweza kuwacheka warusi?
Unapata wapi ujasiri wa kuwacheka majenerali na majasusi wa warusi wewe Kwa kupeleka ndege hiyo SA?
Unajua mipango Yao?
Nikushauri kitu ndugu yangu sio Kila kitu unachangia vitu vingine vionesha jinsi ulivyo na upunguani wa akili.
Urusi imepigana vita nyingi sana na kubwa hapa duniani,Ina vyuo vikuu vingi sana vya kijeshi duniani.
Kwa kifupi Urusi ni taifa la kivita.
Maisha ya Urusi ni vita. Wewe una Nini ujuacho kuhusu mikakati ya jeshi la Urusi.
Ficha ujinga wako ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom