Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Kakunyonya nini wewe cha kunyonywa na USANani asiyejua kama USA ni mwizi na mnyonyaji mkubwa duniani
Madini ni wenyewe mlisaini tena kwa kukenua meno yote 32
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakunyonya nini wewe cha kunyonywa na USANani asiyejua kama USA ni mwizi na mnyonyaji mkubwa duniani
Taifa la kivita mwaka wa tatu bado wanahangaika na Ukraine? Hata mimi sikutegemea mpaka sasa Ukraine itakuwa haija surrender.Hivi wewe unaweza kuwacheka warusi?
Unapata wapi ujasiri wa kuwacheka majenerali na majasusi wa warusi wewe Kwa kupeleka ndege hiyo SA?
Unajua mipango Yao?
Nikushauri kitu ndugu yangu sio Kila kitu unachangia vitu vingine vionesha jinsi ulivyo na upunguani wa akili.
Urusi imepigana vita nyingi sana na kubwa hapa duniani,Ina vyuo vikuu vingi sana vya kijeshi duniani.
Kwa kifupi Urusi ni taifa la kivita.
Maisha ya Urusi ni vita. Wewe una Nini ujuacho kuhusu mikakati ya jeshi la Urusi.
Ficha ujinga wako ndugu yangu.
Utajua unafiki tulio nao kama wabongo😂😂😂Tanzania ni mshirika mkubwa wa China kuliko USA.
No way Tanzania itakubali huo ujinga.
Ila kwa kuweka kambi Tanzania haitakubali mkuu.Utajua unafiki tulio nao kama wabongo😂😂😂
Russia katanda kote AfrikaHapo bondeni kuna nini?
Africa changamoto, matatizo ya huku yanafananaRussia katanda kote Afrika
Russian warship arrives in North Africa
Kabisa anatakiwa akashauriwe laa sivyoooNadhani ni muda mwafaka watumwe wale wazee wa Dasalama wakaishauri Marekani istaafu sasa kwa amani, ikajilie kiinua-mgongo chake ilichojilimbikizia kimabavu na mbavu tangu 1776.
Vinginevyo, sidhani itapata japo nafasi ya kufurahia dakika zake hizi za jioni. Bye bye America!
Mchafuzi ushachafua tayar hongeraRussia (USSR) pamoja na kuwa na mshikamano na mataifa mengi maskini ya Afrika kwa miaka mingi, hakuna nchi ya Afrika iliyowahi kunufaika na uhusiano huo kiasi cha kuondokana na umaskini. Mwisho wake na Urusi yenyewe ikaashia kufilisika na kwenda kuwapigia magoti mahasimu wake. Wakamchangia, ndiyo akanyanyuka.
GDP ya Urusi ni dola trillion 2, ya USA ni 24, ya China ni 13. Urusi hata angetamani kusaidia, hana huo uwezo kwani mapato yake bado ni kidogo sana ukilinganisha na mataifa mengine makubwa kama USA, Japan, China, na mataifa ya Ulaya Magharibi kama Germany.
Maskini hata mshikamane vipi, mtazidi kuimarisha umaskini wenu. Mataifa wajanja, kama South Korea, Hong Kong, Singapore, Taiwan, Saudi Arabia, Qatar, UAE, yaliamua kushikamana na USA, leo hayashikiki, wakati kule kwa Un Jong, hata TV kuwa nayo ni shida.
Afrika Kusini, isipoendesha siasa zake kwa ujanja na tahadhari, kuna siku inaqeza kugeuka na kuwa mfano mzuri kwa mataifa yaliyofika hatua fulani halafu yakadondoka mpaka jalalani.
Kama ambavyo bwana yule alihaha miaka 20 kule na akatoka ndukiTaifa la kivita mwaka wa tatu bado wanahangaika na Ukraine? Hata mimi sikutegemea mpaka sasa Ukraine itakuwa haija surrender.
UTASUBIRI SANA ENDELEA KULISHWA PROPAGANDA NA HAO URUSINadhani ni muda mwafaka watumwe wale wazee wa Dasalama wakaishauri Marekani istaafu sasa kwa amani, ikajilie kiinua-mgongo chake ilichojilimbikizia kimabavu na mbavu tangu 1776.
Vinginevyo, sidhani itapata japo nafasi ya kufurahia dakika zake hizi za jioni. Bye bye America!
Ukibanwa kidogo lazima utoe mlio
Huwa humuoni jamaa akihuzulia vikao vya sakosi?.Taifa la kivita mwaka wa tatu bado wanahangaika na Ukraine? Hata mimi sikutegemea mpaka sasa Ukraine itakuwa haija surrender.
Russia anapigana na magaidi ya NATO na anawakamua vibaya mno bila kilainishiTaifa la kivita mwaka wa tatu bado wanahangaika na Ukraine? Hata mimi sikutegemea mpaka sasa Ukraine itakuwa haija surrender.
Kwahyo ujinga wangu ndio umekufanya uwe kilaza kiasi hiki? Yaani Urusi kushinda vita kwa msaada wa USA ndio unaliona taifa la vita!!, hivi kama USA ingekuwa upande wa ujerumani leo hii Urusi ingekuwa katika hali ganii? Hilo hulifikirii, Kama huna jambo la kupost Bora ukae kimya kuliko kujidhalilisha hapaaHivi wewe unaweza kuwacheka warusi?
Unapata wapi ujasiri wa kuwacheka majenerali na majasusi wa warusi wewe Kwa kupeleka ndege hiyo SA?
Unajua mipango Yao?
Nikushauri kitu ndugu yangu sio Kila kitu unachangia vitu vingine vionesha jinsi ulivyo na upunguani wa akili.
Urusi imepigana vita nyingi sana na kubwa hapa duniani,Ina vyuo vikuu vingi sana vya kijeshi duniani.
Kwa kifupi Urusi ni taifa la kivita.
Maisha ya Urusi ni vita. Wewe una Nini ujuacho kuhusu mikakati ya jeshi la Urusi.
Ficha ujinga wako ndugu yangu.
Kesho mmarekani ataleta B-52 bombers pale kigamboni na kufunga MIFUMO ya THAAD Nairobi. UBAYA Ubwela
Mimi.Nani asiyejua kama USA ni mwizi na mnyonyaji mkubwa duniani
South Africa boosting defense ties with RussiaMbwembwe tu
Kwa hiyo Mrusi ni mtu mwema sio?Nani asiyejua kama USA ni mwizi na mnyonyaji mkubwa duniani