Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi ni nchi ya vichaaa, kuanzia wafuasi wa Putin hapa Tanzania na huko mawinguni ukiwafuatilia utaona wana shida ya akili.Ina maana Russia wanafurumusha makombora bila kujua wanalenga nini na wapi?
Acha kujielezea sana.Hiyo inaitwa friendly fire, kama ofisi zipo karibu na bandari tremor na sharpnels lazima zitafanya uharibifu. This was not delibarate fire.