Hizo ni Pro West propoganda bada ya kipigo cha aibu waliopata si kidogo silaha za Nato ,,zimekuwa kama masanamu yale kwenye maduka ya nguo Mrusi anaisambaratisha Odisa na Maykolaiv kama kawaida hakuna silaha ya Nato inauwezo wa kuzuia Missiles za Mrusi.