Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
Kwakweli hamna gari mule ni makopo tu yanayotembeaIwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
kuna watu walikuwa wakizisifu HOWO, kwamba Scania haifui dafuKwakweli hamna gari mule ni makopo tu yanayotembea
Mbona ulipoteaa mkuu ulienda marekaniIwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s