URUSI Yapiga Mrufuku Malori ya Kichina kwa kukosa Ubora

URUSI Yapiga Mrufuku Malori ya Kichina kwa kukosa Ubora

Huku kwetu Tz wameweka mpaka kiwanda na MC alikuwa Mkuu wa mkoa charamira mlevi
 
Howo na FAW au? Hamna malori hapo lifespan yake miaka mitatu tu baada ya hapo utaimba Halleluya mara water jacket zimwage maji,mara ichemshe uzuri wake spare ni bei rahisi tu.
 
Gari za kichina hakuna gari mule, lifespan yake maximum ni miaka 5 baada ya hapo gereji inakuwa kama clinic kwako, kama una mpango wa kununua Ndiga za cargo jikaze uchukue scania or hata DAF
 
Ikiwa sisi hatuna hata kiwanda cha toothpick, hatuna uwezo wa kujua hiki bora na hiki dhaifu. Tukiuziwa bei chee tunaona tumepata na tunatembe humohumo.
Kua Marafiki urusi na china hakumaaniashi kukubali kuuziana bidhaa weak
 
Kwetu tumezoea dezo na mteremko kwa hiyo kila kitu tunaona kizuri tu
Kila bidhaa feki

Kuwa marafiki haina maana tuibiane au mnataka wawe kama sisi
 
Haina maana mkiwa best friends.. basi upokee kitu kibaya kwa rafiki yako.. urafiki ni benefits kwa kila mtu
 
Urafiki ni kufanyiana wema, kama kuna hasara kwenye urafiki hakuna budi kukataa uhuni
 
Back
Top Bottom