Urusi yasema "Full scale war" ndio njia sahihi ya kutafuta amani Middle East

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Rais Vladimir Putin amesema njia sahihi ya kupata amani mashariki ya kati ni kuanzisha vita kamili kauli imekuja baada Israel Jana kutuma barua ya kuomba mazungumzo na Iran pamoja na Lebanon na huo ujanja wa kukwepa vita kamili dhidi yake...

JUST IN: 🇷🇺 Russia says a full-scale war is the only way for peace in the Middle East and blames the United States

"The knot is tightening in the Middle East. Sorry for the innocent lives lost. They are but hostages of a disgusting state: the USA.

Meanwhile, it's clear to everyone that a full-scale war is the only way to a shaky peace in the region."

 
"Some time preparediness to go to war also is a solution for peace" Tonny Braia aliseme hivo walivo taka kuvamia Iraq, na wa Arabu wange jua kwamba solution ya kupata amani ya kudumu, ni full scale war na adui wao,..........Hittler aliisema 1942 "some Germans have to die ni order Germany to get longtime peace" hapo slikua anafanya maandalizi ya vita against the allied forces........ata tukirudi hapa kwetu TZ........
 
Kwani tz kuna nini mpaka tuvitamani vita ....
 
Ila wasaka bikra mna kazi sana
 
Kipindi cha Six days 1969 Rusia alisaidia nchi za kiarabu lakini bado zilichapika, kila siku ndege za Israel zinaingia na kutoka Syria na huku kuna jeshi la Rusia na anti-missile zipo S-300, S-400, kwa nini asitungue hizo ndege za Israel zinazoingia Syria? Russia anaijua Israel nje na ndani, anajua Intelligencia ya Mossad, pia inner circle ya Putin wamejaa Russians wenye asili ya Israel, baadhi ya wataalamu kwenye vinu ya nyukilia huko Rusia ni warusia wenye asili ya Israel, kiongozi wa wegner alikuwa ni Mrusi mwenye asili ya Israel. Hayo maneno Rusia anayatamka ili kumzuga Iran na mataifa ya kiarabu waone Rusia yuko karibu nao, kama anaweza atungue ndege za Israel pale Syria. Linapokuja suala la kuhatarisha usalama wa Israel, Israel anakuwa mbaya kuliko hata USA na nchi za Ulaya.
 
Kapigana six day war na mataifa sita ila anapigana one year war dhidi ya wilaya
Huko chachi mnamezeshwa sana propaganda stukeni
Mwisho linapokuja suala la israhell wazungu wote lao hua moja na waarabu wengi hawaaminiki wanasimama na wazayuni
 
Kwa hali ilivyo,VITA KAMILI ndio Suluhu ya kudumu.
Waarabu wauze hii kesi haraka.
 
Yeye alivyoifanya kule ukrane amepata solution,hao ni walevi tu


USSR
 
BREAKING: SECURITY TIGHTENED AROUND NETANYAHU FOR FEAR OF ASSASSINATION

“Security has been tightened around Netanyahu and his government ministers following Israel's recent assassinations, for fear of targeting them.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…