Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Waeleweshe hawa wanamgambo wa kiyahudi toka kwaKapigana six day war na mataifa sita ila anapigana one year war dhidi ya wilaya
Huko chachi mnamezeshwa sana propaganda stukeni
Mwisho linapokuja suala la israhell wazungu wote lao hua moja na waarabu wengi hawaaminiki wanasimama na wazayuni
⚠️BREAKING NEWS⚠️anataka wafanane, wote wawe na vita kama na yeye alivyo na ukraine. atawaponza wenzake, tena sana.
Six days war ilikuwa 1967......s-300 imeingia in service mwaka 1978.... Tupige chai taratibu mkuu..usitufanyie ivyo hata kama hatujui.Kipindi cha Six days 1969 Rusia alisaidia nchi za kiarabu lakini bado zilichapika, kila siku ndege za Israel zinaingia na kutoka Syria na huku kuna jeshi la Rusia na anti-missile zipo S-300, S-400, kwa nini asitungue hizo ndege za Israel zinazoingia Syria? Russia anaijua Israel nje na ndani, anajua Intelligencia ya Mossad, pia inner circle ya Putin wamejaa Russians wenye asili ya Israel, baadhi ya wataalamu kwenye vinu ya nyukilia huko Rusia ni warusia wenye asili ya Israel, kiongozi wa wegner alikuwa ni Mrusi mwenye asili ya Israel. Hayo maneno Rusia anayatamka ili kumzuga Iran na mataifa ya kiarabu waone Rusia yuko karibu nao, kama anaweza atungue ndege za Israel pale Syria. Linapokuja suala la kuhatarisha usalama wa Israel, Israel anakuwa mbaya kuliko hata USA na nchi za Ulaya.
Hana haraka? Saa 72 tokea 2022 hazijaisha tuu?Huu uongo uncle umeutoa wapi!?
Ukraine inazidi kupoteza askari kila leo na hapo ina usaidizi wa NATO.
Sehemu kubwa ya Ukraine imemegwa,na Russia inaonekana hana haraka na kuimaliza hii vita.
Yeah hana haraka ,kama angekua na haraka angeshusha vyuma Ukraine pale Kiev vizito bas.Hana haraka? Saa 72 tokea 2022 hazijaisha tuu?
Yes Ukraine nao wanakufa lakini ni noble death,idadi ya mageneral wa Urrusi waliouawa inatisha.