Urusi yasema "Full scale war" ndio njia sahihi ya kutafuta amani Middle East

Putin, Anataka kuuza silaha tu. Kashaona ni fursa ya kupiga hela. Hata usa anapiga hela mno kwa kuuza silaha. Vita ni biashara kubwa kwa wauza silaha.
Putin naona kama anataka kuwaingiza mkenge hawa Waarabu.

Iran haiko stable katika kuingia Vitani na nchi ya Israel, itapigwa kwa sababu ndani ya nchi ya Iran kwenyewe Kuna Mgogoro unafukuta ndani kwa ndani.
Wananchi wengi sana wa Iran hawaukubali Utawala uliopo katika nchi yao kutokana na Utawala huo kukumbatia misimamo mikali zaidi ya dini ya Kiislamu.
Israel itatumia udhaifu huo wa kuwepo kwa Mgogoro wa ndani katika kuipiga vita Iran na kushinda.
 
Wana JF wanamsemo wao, Myahudi hacheki na Kima.

Watu wanapigika vibaya mno 🤣
 
Kuna wakati vita kamili huleta heshima na kulazimisha gaidi kuacha ugaidi wake.Hata hapa Tz yafaa kufanya maandamano kupinga Hali ngumu ya maisha ya watz.Bila maandamano mtakamuliwa Kodi za hovyo miaka yenu yote.
 
Usiwe mtu wa kukariri kila kitu, elimika kijana
 
Yeye ka nchi kadogo kanamtoa jasho.....
1. USA alitolewa jasho la damu na wakulima wa jembe la mkono wa Vietnam

2. USA alitolewa jasho kwa miaka 20 mfululizo na wachunga mbuzi na kondoo wa Kitaliban. Yaani baada ya 20yrs mambo yakarudi square one!

Vita siyo nzuri, kwenye vita hakuna mshindi, tuombee amani daima
 
Waamini ⭐🌙 hawana akili. Huu ushauri wa kafiri Putin watauchukua na matokeo yake yatakuwa yale free palestine
Nahisi hata Hamas tukio la October 7 waliambiwa na Putin. Kavamie Israel😀😀😀😀
 
Hujui akili ya bepari. Bepari kwenye sehemu ambapo hakuna maokoto ni bora apate aibu ya kushindwa vita kuliko kuchoma hela. USA hapigani vita vya ufahari hata siku moja. Hiyo miaka 20 ameshaiba mali nyingi sana mkija kushituka mnabaki ameshindwa vita kumbe kapiga mali zake kasepa kaona hakuna tena cha kuchukua
Uchumi wa USA kila siku unaimarika tu mpk anawawekea wenzake vikwazo. Hiyo jeuri anaipata wapi?
 
ush
indi upo bwana, kote huko USA alishinda kilichobaki ni kuvizia tu. Ukianza kujilipu na mabomu ya kujifunga kiunoni ni kuwa umeshindwa vita
 
Rais Vladimir Putin amesema njia sahihi ya kupata amani mashariki ya kati ni kuanzisha vita kamili kauli imekuja baada Israel Jana kutuma barua ya kuomba mazungumzo na Iran pamoja na Lebanon na huo ujanja wa kukwepa vita kamili dhidi yake...
PUTIN ameongea lini maneno hayo?
umemchanganya PUTIN na MEDVEDEV
 
1969; s300, s400 una uhakika hizi silaha zilikuwepo au inapanua mdomo kama mbweha tu?
 
Huyu makalio anawaza bunduki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…