Urusi yasema "Full scale war" ndio njia sahihi ya kutafuta amani Middle East

Russia bado haijaingia vitani ipo kwenye operation maalum ya kusaka na kuyaua magaidi ya Nazi...kama op kimbunga
Uliona wapi SMO inayopoteza more than 0.5 million soldiers.

Hana mbinu na Ukraine ni wabunifu sana wanawatesa Urusi na simple drones weapons.
 
Uliona wapi SMO inayopoteza more than 0.5 million soldiers.

Hana mbinu na Ukraine ni wabunifu sana wanawatesa Urusi na simple drones weapons.
Huu uongo uncle umeutoa wapi!?
Ukraine inazidi kupoteza askari kila leo na hapo ina usaidizi wa NATO.
Sehemu kubwa ya Ukraine imemegwa,na Russia inaonekana hana haraka na kuimaliza hii vita.
 
Labda kuishinda nanjaa
Israhell njia pekee yakuishinda iran ni kuungana na shoga zake
Israhell uwezo wakuipiga iran akaishinda hana
Sipendi watu wauane na wala vita ila alousema PUT IN ndio ukweli mchungu kabisa
Ili mashariki yakati pawe na amani inatakikanwa all out war laa sivyo israhell atazidi kuua na kutesa watu bila sababu
Mwisho kama vita itapelekea israhell kuchapwa bora ije hata muda huu itapendeza
 
Huyu makalio anawaza bunduki tu.
Ni jambo la kawaida kabisa kwa Mtawala yoyote yule mwenye itikadi za Ukomunisti au Ujamaa.

Watawala wenye itikadi za Ukomunisti/Ujamaa wanachoweza kufanya wao ni Siasa za Bunduki ('Gun Politics.') tu, hawawezi kufanya Siasa za Nguvu ya Hoja.
 
Bado mnajadili mambo yalowazidi uelewa
Marekani hakuna sehemu aloeka vikwazo vikafanikiwa bila msaada wa shoga zake
Marekani ili jambo lake afanikiwe lazima abebe tagi
Taja nchi moja tu ambayo imeekewa vikwazo na marekani pekee
 
anataka wafanane, wote wawe na vita kama na yeye alivyo na ukraine. atawaponza wenzake, tena sana.
 
Ni jambo la kawaida kabisa kwa Mtawala yoyote yule mwenye itikadi za Ukomunisti au Ujamaa.

Watawala wenye itikadi za Ukomunisti/Ujamaa wanachoweza kufanya wao ni Siasa za Bunduki ('Gun Politics.') tu, hawawezi kufanya Siasa za Nguvu ya Hoja.
Kama wasivyoweza mabepari?
Vijana hua munakurupuka sana kuongea majambo
 
Yapp..!!
Vamoss👽👽👽
 
Watu wanabondwabondwa kila uchwao halafu waombwe mazungumzo unaota wewe ushavimbiwa urojo
 
Ukraine ni Gaza namba mbili.
Ukraine ishateketea pale maana ardhi kubwa imetekwa na Russia.
Amount of Ukrainian territory under Russian control during the conflict
DatePercentage of
Ukrainian territory (%)
AreaSource
20 February 20197.3%44,000 km2 (17,000 sq mi)Petro Poroshenko, U.N.[22]
29 December 20217.12%43,133 km2 (16,654 sq mi)CIA World Factbook[23]
22 February 20227.0%42,000 km2 (16,000 sq mi)CNN[7]
28 February 202220%119,000 km2 (46,000 sq mi)CNN[7]
22 March 202227%163,000 km2 (63,000 sq mi)CNN[7]
8 April 202219%114,000 km2 (44,000 sq mi)CNN[7]
2 June 202220%119,000 km2 (46,000 sq mi)Volodymyr Zelenskyy[24]
31 August 202221%125,000 km2 (48,000 sq mi)CNN[7]
11 September 202219%116,000 km2 (45,000 sq mi)CNN[7]
26 September 202219%116,000 km2 (45,000 sq mi)CNN[7]
11 November 202220%119,000 km2 (46,000 sq mi)CNN[25]
14 November 202218%109,000 km2 (42,000 sq mi)NY Times[26]
23 February 202318%109,000 km2 (42,000 sq mi)Belfer center[27]
25 September 202318%
(0.1% points more than
in December 2022)
~109,000 km2 (42,000 sq mi)
(518 km2 more than
in December 2022)
NY Times[10]
20 May 202418%~109,000 km2 (42,000 sq mi)Center for Preventive Action[28]
 
Afghanistan alifuata mafuta na gas Kama ambavyo USSR aliyafuata 1970s-80s,alichimba pipa ngapi!?
 
Kharkiv na Zaporizhia vipi bendera zimechomolewa za Russia??
Ni lazima iandikwe hivyo kwasababu maeneo yaliyoporwa na Russia bado mamlaka za kimataifa haijazitambua kuwa ni za Russia.
 
Nchi za waabudu shetani, kidikteta, na wachawi, Urusi, China, Korea Kaskazini, Iran etc etc totalitarian regimes hawatafanikiwa Mungu YAHWEH yupo watashughulikiwa wamjue.!
 
Huyu jamaa anataka kugawa nguvu ya marekan ili iende Israel upunguze kwa Ukraine then utasikia mchina nae ataichukua Taiwan soon kikinuka.
 
Putin, Anataka kuuza silaha tu. Kashaona ni fursa ya kupiga hela. Hata usa anapiga hela mno kwa kuuza silaha. Vita ni biashara kubwa kwa wauza silaha.
Kwahiyo Urus anazo silaha nyingi sana za kupigana na Ukrain na mpaka za kuuza nje ya nchi? Si kina muda aliomba msaada wa kuuziwa silaha na North Korea?
 
Kuna watu humu wanataka mashoga yaachwe tu yatambe yaan kipigwe tu ndio dawa
kabisa yani mashoga si ya kuwachekea,wao ndo chanzo cha njaa,mafuriko,ukame,magnjwa ya ajabu n.k hapa duniani...UBWELA UBWELA TU MAZAFAKA ISRAEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…