Urusi yasema "Full scale war" ndio njia sahihi ya kutafuta amani Middle East

Kapigana six day war na mataifa sita ila anapigana one year war dhidi ya wilaya
Huko chachi mnamezeshwa sana propaganda stukeni
Mwisho linapokuja suala la israhell wazungu wote lao hua moja na waarabu wengi hawaaminiki wanasimama na wazayuni
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Waeleweshe hawa wanamgambo wa kiyahudi toka kwa
 
anataka wafanane, wote wawe na vita kama na yeye alivyo na ukraine. atawaponza wenzake, tena sana.
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Israel and the USA are now losing their respect due to their hegemonic designs and selfish interests.
 

Attachments

  • IMG_20240801_222518.jpg
    119.3 KB · Views: 1
Six days war ilikuwa 1967......s-300 imeingia in service mwaka 1978.... Tupige chai taratibu mkuu..usitufanyie ivyo hata kama hatujui.
 
Huu uongo uncle umeutoa wapi!?
Ukraine inazidi kupoteza askari kila leo na hapo ina usaidizi wa NATO.
Sehemu kubwa ya Ukraine imemegwa,na Russia inaonekana hana haraka na kuimaliza hii vita.
Hana haraka? Saa 72 tokea 2022 hazijaisha tuu?

Yes Ukraine nao wanakufa lakini ni noble death,idadi ya mageneral wa Urrusi waliouawa inatisha.
 
Hana haraka? Saa 72 tokea 2022 hazijaisha tuu?

Yes Ukraine nao wanakufa lakini ni noble death,idadi ya mageneral wa Urrusi waliouawa inatisha.
Yeah hana haraka ,kama angekua na haraka angeshusha vyuma Ukraine pale Kiev vizito bas.
Maana jeshi la Ukraine liko dismantle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…