Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani isitegemee kuwa itaweza kujificha nyuma ya mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi...hilo kamwe halitafanikiwa na wataziangamiza kwa nyuklia nchi zitazoingia mkenge.
Hatua hiyo imefuatana na mazoezi ya kivita ya silaha za nyuklia ambapo Urusi imetumia kombora la Yars linaloweza kuitwanga Uingereza na kokote Ulaya.
======
,