Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Hua haanzi kuongea,Bali hua anaongea kuwajibu.Russia nae anaongea ongea sana,
Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia.
Anaongea hivyo sababu anaujua uwezo mdogo wa wapinzani wake juu ya nyuklia na pia anawajua kuwa ni waoga.Russia nae anaongea ongea sana,
Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia.
Alisikika mMarekani mmoja wa Kapalamsenga baada ya kushiba visate na dagaa wa Mwanza...Russia nae anaongea ongea sana,
Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia.
Mahakama ya icc Ni ya kimchongo,Urusi yakazia kuwa Marekani imeua watu milioni 20 ktk nchi 37 toka kumalizika kwa vita vya pili vya dunia...na haijawahi kuwajibishwa na ICC...hivyo wasahau Urusi kuwajibishwa na ICC
=====
View attachment 2282865
Hata Umoja wa Afrika kama sikosei ulikataa kumkamata Rais wa Sudan Omary Al Bashir alipoudhuria mkutano S.Africa ili apelekwe ICC.Mahakama ya icc Ni ya kimchongo,
Ndo maana Uhuru kenyata aliikataa,
Hata jiwe Nakumbuka kabla hajafa alijitoa huko
Kama vipi akiwashe tu maana propaganda hazileti maana yeyote mpaka vitendo vijieleze
Unataka uadhibiweje ndio urushe nyuklia maana kiuchumi umeshaanza kuadhibiwa ,kivita wanatoa misaada ili kukukwamisha ,we mzee acha dawa ikuingie mikwara peleka huko MoscowUrusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani isitegemee kuwa itaweza kujificha nyuma ya mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi...hilo kamwe halitafanikiwa na wataziangamiza kwa nyuklia nchi zitazoingia mkenge.
Hatua hiyo imefuatana na mazoezi ya kivita ya silaha za nyuklia ambapo Urusi imetumia kombora la Yars linaloweza kuitwanga Uingereza na kokote Ulaya.
======
,View attachment 2282819 View attachment 2282820View attachment 2282821View attachment 2282822