aya tuoneshe za kwako we si unazo.Hizo nyukilia nani hana?
Mbona mnaimba wimbo wa kitoto utafikiri Urusi tu ndio anazo hizi nyukilia
Siku ukijua vita zina utaratibu wake ndio utaelewa hii ni proxy war yani vugu vugu bado haijafikia level ya one to one 😀😀😀! Atakaeifikisha hapo ni Marekani ambaye ndio anateseka sana na urusi.Mtu mkipigana naye
Mpiganaji kweli wala hakutishii ohh nitakupiga ngumi anapiga tu
Russia Bwege tu ana mkwara Mbuzi
Aanze ili mumuite Criminal of War? Mumlipishe gharama za kuijenga marekani upya?Aanze yeye aone mziki wake
Si anabweka kama mbwa kuwa atatumia nyukilia ambayo hata Rwanda tu.hapo wameanza ku develop
Anamtishia nyau nani?
Empty threats....Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani isitegemee kuwa itaweza kujificha nyuma ya mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi...hilo kamwe halitafanikiwa na wataziangamiza kwa nyuklia nchi zitazoingia mkenge.
Hatua hiyo imefuatana na mazoezi ya kivita ya silaha za nyuklia ambapo Urusi imetumia kombora la Yars linaloweza kuitwanga Uingereza na kokote Ulaya.
======
,View attachment 2282819 View attachment 2282820View attachment 2282821View attachment 2282822
Ndio chorus yake. Anafikiri ndio yeye anazo peke yake. Halafu hizo land based nuclear weapons ni sitting duck ya NATO.Russia nae anaongea ongea sana,
Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia.
Omar Al Bashir alitoroshwa na walinzi wake.Hata Umoja wa Afrika kama sikosei ulikataa kumkamata Rais wa Sudan Omary Al Bashir alipoudhuria mkutano S.Africa ili apelekwe ICC.
Ndo kwanza wakampa ulinzi wa kutosha Toka mkutano hadi Sudan.
Kwani anayetishia nuclear nani? Kila siku nuclear, nuclear..Rusheni basi si anawakera sana urusi. Rusheni muanzishe gem la nyuklia kisha mtaona moto wake. Uzuri alieanza ndo atabeba tag ya criminal of war.
Mwenzako presha inapanda na kushuka, kujiuzulu mchezo!Ndio chorus yake. Anafikiri ndio yeye anazo peke yake. Halafu hizo land based nuclear weapons ni sitting duck ya NATO.
Presha ya nani? Bojo?Mwenzako presha inapanda na kushuka, kujiuzulu mchezo!
Bado Biden
Nuke za russia siyo za kitoto hata USA hana kama hizo na tec ya makombora ya kusafirisha hizo nuke bomu za mrussia ni habari nyingine kabisa ...Hizo nyukilia nani hana?
Mbona mnaimba wimbo wa kitoto utafikiri Urusi tu ndio anazo hizi nyukilia
Na mwisho wa siku akakamatwa na wasudani wenzake. sasa anasubiri kupelekwa huko huko The Hague. Shida ya waafika tunapiga kelele sana bila strategies. ICC ina mapungufu yake. Lakini strategy ya waafrika kubweka bweka haisaidii.Hata Umoja wa Afrika kama sikosei ulikataa kumkamata Rais wa Sudan Omary Al Bashir alipoudhuria mkutano S.Africa ili apelekwe ICC.
Ndo kwanza wakampa ulinzi wa kutosha Toka mkutano hadi Sudan.
Uko zako buza....unajua mipango mpaka ya wazungu kuwa hawajajiandaa na nyukilia[emoji16][emoji16]Hua haanzi kuongea,Bali hua anaongea kuwajibu.
Pili hakuna chochote walichojiandaa kukabiliana na nyukilia.
Wangekua wamejiandaa Russia asingeweza kuingia Ukraine wakitazama.
ICC ina watu wake wa kuwalenga (hasa wa dunia ya tatu), sio kila mtu atashitakkwa huko.ICC yenye angalau ilikuwa ya Luis Moreno Ocampo, sio hawa wasioeleweka wa sasa. Watu wa kwanza kabisa kufunguliwa kesi walibidi wawe ni George Bush na Tony Blair.
Urusi sikumbuki kama ilishitakiwa mission yake ya Georgia
Kukabiliana na Nuclear? Hebu acha utani wewe!!Russia nae anaongea ongea sana,
Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia.
Aisee! hivi unafahamu Nuclear War ni suicide kwa wote? yaani dunia nzima inageuka kifusi?Hahahaaa mpk sasa bado tu anatishia nyukilia kwani watamwangalia tu