Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kumekuwepo na vuta nikuvute juu ya mashambulizi makubwa yaliyofanywe na Urusi hapo jana kwenye mji mkuu wa kyiv. Wakati Ukraine ikisema imetungua makombora yote 18 yaliyorushwa jijini hapo,6 kati yao yakiwa ni Kinzha Hypersoni na kwamba ni watu 3 tu waliojeruhiwa na gari moja kuungua kwa kuangukiwa na mabaki ya hyepersoni.c .Urusi yenyewe jimesema makombora yote yalikuwa ni ya kawaida na kwamba yote yalipiga yalipokusudiwa.Zaidi ya hivyo wameangamiza patriot 1.
Maafisa wa jeshi la Ukraine wamekiri hawajapata kuona mashambulizi makubwa kiasi hicho jijjini hapo lakini hakuna hasara..Habari hizo zinapingana na idadi ya miripuko ya ardhini iliyosikika na wakaazi wengi na idai ya mioto mikubwa iliyokuwa ikizimwa.