Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa.

Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu jengo la ghorofa tano katika wilaya ya Darnytskyi, na wengi wa waliokufa walikuwa humo.

Wengine kadhaa walijeruhiwa, wakiwemo watoto. Von der Leyen alisema makombora mawili yalipiga karibu na ujumbe wa EU umbali wa mita 50 pekee ndani ya sekunde 20, jambo alilolaani vikali.

Ofisi ya Baraza la Uingereza pia iliharibiwa. Jeshi la Ukraine liliripoti kuwa Urusi ilitumia karibu ndege zisizo na rubani 600 na zaidi ya makombora 30 ya masafa marefu katika shambulio hilo, likiwa kubwa zaidi mwezi huu.

Shambulio hilo lilitokea majira ya saa 9 alfajiri, likisababisha jengo la makazi kuporomoka. Vikosi vya uokoaji vilionekana wakiondoa kifusi na kutafuta manusura. Maafisa wamesema watoto waliouawa walikuwa na umri wa miaka 2, 14 na 17.

Source BBC
 
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Uru fer der Lyern si mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa.

Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu jengo la ghorofa tano katika wilaya ya Darnytskyi, na wengi wa waliokufa walikuwa humo.

Wengine kadhaa walijeruhiwa, wakiwemo watoto. Von der Leyen alisema makombora mawili yalipiga karibu na ujumbe wa EU umbali wa mita 50 pekee ndani ya sekunde 20, jambo alilolaani vikali.

Ofisi ya Baraza la Uingereza pia iliharibiwa. Jeshi la Ukraine liliripoti kuwa Urusi ilitumia karibu ndege zisizo na rubani 600 na zaidi ya makombora 30 ya masafa marefu katika shambulio hilo, likiwa kubwa zaidi mwezi huu.

Shambulio hilo lilitokea majira ya saa 9 alfajiri, likisababisha jengo la makazi kuporomoka. Vikosi vya uokoaji vilionekana wakiondoa kifusi na kutafuta manusura. Maafisa wamesema watoto waliouawa walikuwa na umri wa miaka 2, 14 na 17.

Source BBC
Ursula Von der Leyen, kidomo domo sana na war monger, si ajabu hata habari hizi kaweka chumvi mno, anacho tafuta yeye ni kitengeneza mazingira ya kumshawishi Trump ajiingize kichwa kichwa kwenye vita nchini Ukraine, kanajifanyaga kinara wa kumpa ushauri potofu Zelensky kwamba hasikubari ushauri anao pewa na Trump.

Siku moja kwenye mkutano na Trump na viongozi wa EU na Uingereza Von der Leyen aliwahi kuropoka kwa kumsingizia Putin kwamba anapora watoto wadogo kutoka Ukraine na kuwapeleka kusiko julikana akasema sisi kama wazazi hili linauma sana, unajua Trump alijibu nini? Alisema kama Putin alifanya hivyo bila shaka kuna sababu, siku nyingine Trump alimwambia Ursula kwamba aondoke kwenye mkutano, nafikiri Trump alikwisha chunguza na kujiridhisha kwamba mama huyo ni mchonganishi anataka Trump hasifanikiwe katika juhudi zake za kisitisha vita baina ya Urusi na Ukraine, na actually mama huyo anataka mataifa ya Ulaya yashirikiane na Merikani kuishambulia Urusi!! Watu wengi wanao juwa historia historia ya Ursula wala hawashangai wanasema Babu yake alikuwa na cheo kikubwa kwenye jeshi la KINAZI la Hitler ndiyo maana na yeye ana roho ngumu sana kama ya paka, hata WW3 ikitokea yeye anaona ni sawa tu maana upendaji vita wake huko kwenye DAMU ie (inborn).
 
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa.

Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu jengo la ghorofa tano katika wilaya ya Darnytskyi, na wengi wa waliokufa walikuwa humo.

Wengine kadhaa walijeruhiwa, wakiwemo watoto. Von der Leyen alisema makombora mawili yalipiga karibu na ujumbe wa EU umbali wa mita 50 pekee ndani ya sekunde 20, jambo alilolaani vikali.

Ofisi ya Baraza la Uingereza pia iliharibiwa. Jeshi la Ukraine liliripoti kuwa Urusi ilitumia karibu ndege zisizo na rubani 600 na zaidi ya makombora 30 ya masafa marefu katika shambulio hilo, likiwa kubwa zaidi mwezi huu.

Shambulio hilo lilitokea majira ya saa 9 alfajiri, likisababisha jengo la makazi kuporomoka. Vikosi vya uokoaji vilionekana wakiondoa kifusi na kutafuta manusura. Maafisa wamesema watoto waliouawa walikuwa na umri wa miaka 2, 14 na 17.

Source BBC
Binafsi naona shambulio hilo lililenga kuwa onyo kwa mataifa ya Ulaya yanayo jifanya kutaka kupeleka eti vikosi vya kijeshi nchini Ukraine kwa kisingizio cha kulinda AMANI eti baada ya vita kumalizika wao waende huko kwa kisingizio eti cha "kulinda AMANI" Urusi imewaonya mara nyingi tu kwamba haitavumilia vikosi vya mataifa ya NATO kuja nchini Ukraine kwa kisingizio chochote kile, wakijilazimisha kwenda watachukuliwa na Urusi kwamba wamehamua kutangaza vita dhidi ya Urusi na Urusi itachukuwa hatua stahiki ya kulinda taifa lao.

Kitu kingine ninacho kiona latika operation hii ni kwamba Russia hiko determined ku-hunt down na ku-destroy Cruise missiles 3000 zitakazo wasili nchini Ukraine kutoka Merikani ndani ya wiki mbili kama sikosei na kwa kuwa Cruise missiles hizo ziko designed kwenda masafa marefu ndani ya Urusi yenyewe hii itakuwa ni hatari sana kwa viwanda, airbases, Navy bases, viwanja vya ndege nk, ukiwekea maanani ushauri wa Trump aliyo mpa Zelensky kwamba hawezi kushinda vita hii bila ya kuishambulia ndani ya Urusi kwa silaha za masafa marefu - na kweli baada ya wiki moja tangu Trump atoe ushauri huo, basi Trump huyo huyo akaidhinisha kupelekwa long range cruise missiles 3,600 nchini Ukraine we fikiria!! Unajuwa wakati mwingine ni vigumu sana kuelewa hulka za Trump, leo anadai kutaka kusitisha vita kwa udi na uvumba, kesho yake anapeleka silaha hatari kumuokoa Zelensky eti "hasishindwe VITA na Urusi." Sina shaka Warusi nao watajipanga vilivyo jinsi ya ku-counter tishio hilo, kama ni kitumia pre emptive strike kwenye maghara yatakayo tumika kuifadhi cruise missiles, kushambulia vyombo vya usafiri vitakavyo tumika kubeba silaha hizo: mfano malori,trains au kuzishambulia kwa kutumia latest integrated three layers Air Defense Systems au latest Russian Secret ADS unknown to the rest of the World, bado nasubiri sana to know how Russian are going to deal with American made/manufactured Long Range Cruise Missiles hidden in Ukraine.
 
Urusi anafanya makusudi nami naanza kuamini kwamba Tr ni kazi maalum ya Ptn
 
Back
Top Bottom