green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
AiseeeeNdugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Israel hii hii inayopigana na wanamgambo miezi minne Sasa na wameanza kulia lia vita viisheNdugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Ni kiboko ya NATO na Magaidi wa Israel na MarekaniPutin ana msimamo, Kiburi na Roho ngumu sana sijawahi kuona kwa Marais wa sasa wa Dunia hii...Duuh na bado anashinda kwa kura karibu na zote nchini kwake...
Ana mawazo sana!Huyu jamaa naye hana consistency sasa
Sijui ni kudata na lile shambulio la kigaidi...
Kwanini aende wakati ana rafiki yake Iran mwenye vikundi vya kutosha tu pande zileNdugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Utajua anaisaidiaje Palestine wakati wayahudi wanakimbilia Ulaya kuogopa kipigo cha HamasRussia imefulia. Itaisaidiaje Palestina?
Israel anapigwa gorilla war. Ananyofolewa kidogo kidogo.Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Kwani kuunga mkono Palestina mpaka wapeleke Jeshi? anaweza kuwasaidia kwa njia nyingi tu mbona kama umechukia kusikia hii habari😂Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Jamaa hataki kuamini kama Urusi yupo upande wa Palestina.I
Israel anapigwa gorilla war. Ananyofolewa kidogo kidogo.
Russia ni global superpower mzee, ni washindi WW2 European theatre ni sawa walisaidiana na allies lakini wangeweza kushinda peke yao., US ni washindi WW2 pacific theatre, huwezi sema wamefulia, Russia sio Libya.Russia imefulia. Itaisaidiaje Palestina?