Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Putin Putin Sisi Kama Tanzania tunakuonya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache kama alivyo. Watu wengine wapo wapo tu.Jamaa hataki kuamini kama Urusi yupo upande wa Palestina.
Akili za mashoga hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti Israel kwa urussi ....wakati uwezo wa urussi ni wakuweza kuichapa USA na kuipoteza katika ramani ya duniaNdugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
huruma ya Israel isikutie madharau na kibur , kama mngekuwa hamuwasaidii kulia hao wapalestina bas bomu moja tu kesi ingeishaIsrael hii hii inayopigana na wanamgambo miezi minne Sasa na wameanza kulia lia vita viishe
wangeshinda vp ilihali wahuni walikuw wanakaribia moscow , mshukuru Marekan leo mngekuwa mnasoma hadhith mpyaRussia ni global superpower mzee, ni washindi WW2 European theatre ni sawa walisaidiana na allies lakini wangeweza kushinda peke yao., US ni washindi WW2 pacific theatre, huwezi sema wamefulia, Russia sio Libya.
😂😂😂Putin analazimisha kuwa relevant! Anachukia anapoona dunia imempuuza na inazidi kumpuuza kadri siku zinavyokwenda. Hata China imeshampuuza
Sawa mzee; nadhani wewe ni mmoja wa makamanda wa special military operation.😂😂😂
Dunia ipi inampuuza Putin!?
Mbona kama umeongea kinyume!
Sio kwamba USA na mashoga zake ndio wanaendelea kupoteza ushawishi kila kukicha!?
Mashoga nimemaanisha marafiki mkongwe, mimi sio shabiki wa mazungumzo yanayohusu ushoga unaouwaza wewe!Sawa mzee; nadhani wewe ni mmoja wa makamanda wa special military operation.
Naona agenda yako kubwa hapa ni kwa mashoga tu, kuonyesha upeo mfupi ulio nao akilini mwako.
Kasome hiyo vita ya miaka 8 mkuu.wangeshinda vp ilihali wahuni walikuw wanakaribia moscow , mshukuru Marekan leo mngekuwa mnasoma hadhith mpya
Duuh... Mkuu acha bangiPutin analazimisha kuwa relevant! Anachukia anapoona dunia imempuuza na inazidi kumpuuza kadri siku zinavyokwenda. Hata China imeshampuuza
Mh embu punguza ushabiki huyu israel aliyepigwa na hezbollah na anahangaika kuokoa mateka hadi leo ndio apigane na urusi hivi hizo shule mnazoenda mnaendaga kuimba au?Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Dunia anayomaanisha ni dunia ya USA na wapambe wake!Duuh... Mkuu acha bangi
Dunia ipi inayompuuza putin?
Hii ya kina Macron na Biden?
Sasa Putin aliwekwa madarakani na Ibramovic aliyekuwa mmiliki wa chersea.Putin ana msimamo, Kiburi na Roho ngumu sana sijawahi kuona kwa Marais wa sasa wa Dunia hii...Duuh na bado anashinda kwa kura karibu zote nchini kwake
Nafikiri nchi karibu zote za Ulaya wanatamani V. Putin afe
Ni kama walivyofanya juu chini kufa kwa Ghadafi na Sadam Hussein wa Iraq....ila naona kwa huyu inawawia vigumu
Putin ana 70's sasa sijui kama atakayekuja atakuwa kama yeye au ataingia katika mifumo ya NATO
yaan kipofu unataka waongoza njia wanaoona hahaha kijana jampaah ukalaleeKasome hiyo vita ya miaka 8 mkuu.
Umeisikia juujuu itakuwa