Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

T

Utajua anaisaidiaje Palestine wakati wayahudi wanakimbilia Ulaya kuogopa kipigo cha Hamas
Myahudi gani kakimbilia Ulaya we bwege wakati ndio kwanza wamerudi kutoa kichapo safisha safisha huko Palestina.
Eti waki.bie Hamas, we juha kweli kweli Hamas gani amebaki.
 
Sawa. Ninachokijua ni kwamba mr Putin anajitahidi sana kucheza na akili za ndg zangu waislamu baada ya yeye kutengwa na wazungu. Ila haamini tena kilichotokea baada ya haohao kuua raia wake.
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Acha kuropoka wewe.
Putin kama atashindwa kupeleka jeshi labda kwa kuhofia USA na UK na France.
Ila sio kuihofia Israel.
Israel hii iloshindwa kuzuia makombora ya bukubuku ya Hamas imtishe Russia??
Stop been that foolish.
 
Akili za mashoga hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti Israel kwa urussi ....wakati uwezo wa urussi ni wakuweza kuichapa USA na kuipoteza katika ramani ya dunia
Anasubiri nini kufanya hivyo?
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Una akili za kitoto sana. akili zako hazina tofauti ni zile za enzi za utoto za kuogopa hadi kichaka kitupu.
Eti kwamba hadi Urusi inaiogopa Israel. Ni heri kwa akili hizo usingezaliwa.
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Moto wa Israel au moto wa NATO? Israel bila NATO hawewezi hata kupigana na HAMAS
 
Back
Top Bottom