babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Myahudi gani kakimbilia Ulaya we bwege wakati ndio kwanza wamerudi kutoa kichapo safisha safisha huko Palestina.T
Utajua anaisaidiaje Palestine wakati wayahudi wanakimbilia Ulaya kuogopa kipigo cha Hamas
Ilikuwa lini? Naomba source ta taarifa nifuatilie zaidi hiloSasa Putin aliwekwa madarakani na Ibramovic aliyekuwa mmiliki wa chersea.
Acha kuropoka wewe.Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Ndivyo unavyojidanganya ukikaa kijiwe cha kahawa na wenzio!?Wayahudi ndio wameshikilia siasa na uchumi wa Urusi. Putin hawezi kudiriki kwenda against Israel. That will be the end of him
Anasubiri nini kufanya hivyo?Akili za mashoga hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti Israel kwa urussi ....wakati uwezo wa urussi ni wakuweza kuichapa USA na kuipoteza katika ramani ya dunia
Wewe ni fala kweli, Israel imelia lini wakati anayelia lia ni HAMASIsrael hii hii inayopigana na wanamgambo miezi minne Sasa na wameanza kulia lia vita viishe
Una akili za kitoto sana. akili zako hazina tofauti ni zile za enzi za utoto za kuogopa hadi kichaka kitupu.Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Moto wa Israel au moto wa NATO? Israel bila NATO hawewezi hata kupigana na HAMASNdugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.