Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya.

Finland ambayo inashirikiana mpaka na Russia wenye urefu wa kilomita 1,300, pamoja na Sweden zinatafakari kujiunga na muungano wa NATO.

Finland itachukuwa uamuzi wiki zijazo, waziri mkuu Sanna Marin alisema Jumatano.

Dmitry Medvedev ambaye ni naibu mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, amesema iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO basi Russia italazimika kuimarisha vikosi vyake vya nchi kavu, majini na angani katika bahari ya Baltic.

Medvedev pia ameelezea wazi tishio la nyuklia kwa kusema kwamba hakutokuwa tena na mazungumzo ya Baltic “isiyo na nyuklia” ambapo Russia ina eneo lake la Kaliningrad kati ya Poland na Lithuania.

“Hatuwezi tena kuwa na mazungumzo juu ya hadhi ya kutokuwa na nyuklia kwa Baltic, usawa lazima urejeshwe,” amesema Medvedev, ambaye alikuwa rais wa Russia kuanzia 2008 hadi 2012.

Source: VOA
 
Baada ya putin kuvamia Ukraine, hizo nchi zingine zishaona salama yao ni kujiunga NATO upesi.. Maana zikishakuwa sehemu ya NATO, putin atabaki kuzikodolea macho tu!

Halafu huyo putin ashakuwa kama kichaa kakabidhiwa shoka!
Kwani ni Russia pekee yenye nyuklia?!!!
 
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya.

Finland ambayo inashirikiana mpaka na Russia wenye urefu wa kilomita 1,300, pamoja na Sweden zinatafakari kujiunga na muungano wa NATO.

Finland itachukuwa uamuzi wiki zijazo, waziri mkuu Sanna Marin alisema Jumatano.

Dmitry Medvedev ambaye ni naibu mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, amesema iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO basi Russia italazimika kuimarisha vikosi vyake vya nchi kavu, majini na angani katika bahari ya Baltic.

Medvedev pia ameelezea wazi tishio la nyuklia kwa kusema kwamba hakutokuwa tena na mazungumzo ya Baltic “isiyo na nyuklia” ambapo Russia ina eneo lake la Kaliningrad kati ya Poland na Lithuania.

“Hatuwezi tena kuwa na mazungumzo juu ya hadhi ya kutokuwa na nyuklia kwa Baltic, usawa lazima urejeshwe,” amesema Medvedev, ambaye alikuwa rais wa Russia kuanzia 2008 hadi 2012.

Source: VOA
Nyuklia, nyuklia. Kwa hao wahuni wa Urusi ndio wenye nyuklia peke yao?
 
Sisi mashabiki wa Putin tunasema wapigweeee !

20220303_205618.jpg
 
Russia warns of nuclear deployment if Sweden, Finland join NATO​

Deputy chairman of Russia’s security council says ‘there can be no more talk of any nuclear-free status for the Baltic’ if Sweden and Finland join the transatlantic military allian.
mambo yamewaka aisee niliwahi sema vita ya tatu inanukia nilipondwa sana ila next week yatatokea maajabu maana Finland watajiunga na NATO ,tutegemee vita kubwa .
Mungu ainusuru tuu Africa
 
Kwani nyuklia anazo peke ake!,huyu jamaa kazidi kelele.Watu wengi duniani wanajua madhara ya silaha za nyuklia sasa kabla hajazitumia hao hao wakuu wake wa jeshi wanaweza wakamgeuka,watu wanapenda maisha na yeye ni kiongozi tu wananchi wake wakichachamaa putin ataomba poo,kumbuka pia kuna watu wa karibu yake watakuwa wanakipigia mahesabu kiti chake.Vita ya nyuklia haitomletea yeye ushindi ila itabadirisha dunia,pumbavu tu ndo ataanzisha ujinga wa nyuklia.
 
Back
Top Bottom