Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

yeye (Urusi) ana ongoza na US anafatia ktk swala la nyuklia....
 
putin tunasubiri ajichanganye tu kipigo atakacho kipata kitakua cha mbwa koko hata pata hata muda wa kumsimulia mkewe (kwa sauti ya Muroto)
Usisahau ahadi ya Putin kwamba hao mashoga hatawapa nafasi hata ya kutubu.

Amini amini nakwambia...
NATO hawana cha kumfanya Russia zaidi ya vikwazo na kupeleka silaha ndogo ndogo kwa nchi itakayokuwa ikitembezewa kichapo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo akitumia hiyo nyuklia ndio yeye na warusi wenzake watabaki salama. Huyu Putin inaonekana keshalewa sana vodka kiasi kwamba hata yeye mwenyewe haijui hiyo nyuklia pamoja na kwamba anayo. Useless kabisa.
 
... aache mikwara mbuzi huyo mwehu; nyuklia hanayo yeye peke yake; sawa ataleta madhara ila Moscow na vimji vingine vitakuwa flat within no time; alijue hilo.
 
Wa
 
Kwa hiyo akitumia hiyo nyuklia ndio yeye na warusi wenzake watabaki salama. Huyu Putin inaonekana keshalewa sana vodka kiasi kwamba hata yeye mwenyewe haijui hiyo nyuklia pamoja na kwamba anayo. Useless kabisa.
Hahaaaaaa bwasheee umenichekesha ,ungekua karibu ningekupa k vant kubwa
 
Halafu za kwao sasa wala hata hawajawahi hata kuzitest,lakini tunavyopigiwa makelele hapa sasa.Kila mara akifail tu anaanza wimbo huo huo wa Nyuklia utadhani mtoto mdogo anavyoimba 'rain go away' akiona mvua
Siku zote muoga hupiga kelele kweli atembeapo gizani.
 
Acha uwongo we Mmarekani wa Unyamilonda wamesema wata deploy...sio kushambulia
 
Hizo hela zinapigwa kila kukicha na sisi tungekuwa nazo hata mbili [emoji23]

Hamna anaeuza mashine ya traffic Kweli humu maana nasikia zinaingiza hela mwaka na mapato hayasomi popote ila mifukoni mwa untouchables [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mark my words KAMWE MRUSI hatatumia nuklia kwenye hii vita .. Kwakuwa akipiga naye atapigwa.. Na athari za nyuklia ni za vizazi na vizazi..HATHUBUTU..!
Sisi Waafrika ndio tunatakiwa tuamke wakishapigana hayo mabumo ila bado tunacheka na kima wa kulamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…