Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

Mrusi hana cha kutumia zaidi ya hizo nuclea kwa sababu ameshawekeza nguvu kubwa pale ukraine so ambaacho ataweza kukifanys ili kuzikabili hhizi nchi zingine zinazotaka kujiunga nato ni yeye kutumia nuclea.

Na hatoweza kutumia kwa sababu akipiga na yeye atapigwa tu.
 
Putin lazima atumie nuclear ili alete order duniani.
Ni kama marekani tu.
 
Ina ony
Halafu za kwao sasa wala hata hawajawahi hata kuzitest,lakini tunavyopigiwa makelele hapa sasa.Kila mara akifail tu anaanza wimbo huo huo wa Nyuklia utadhani mtoto mdogo anavyoimba 'rain go away' akiona mvua
Unaonyesha una uelewa mdogo kuhusu russia. Mrusi alishawahi kutest nyuklia bomb na ndio bomu kubwa pekee toka kuumbwa kwa ulimwengu lililowahi kujaribiwa duniani. Nakupa baadhi ya yaliyojiri.
1. Uyoga wake ulipanda juu km 67 angani.
2. Sauti ya mlipuko wake ulisikika km 900 na vioo vya nyumba kupasuka Sweden.
3. Hakujawahi kutokea sauti ya mshindo mkubwa kama hiyo duniani.
Kasome tsar bomba
 
United States walitumia nuclear weapons kwa hiroshima na nagasaki na hakuna nchi yoyote iliyomgusa.
Na Russia pia wanaweza kutumia nuclear weapons popote na hakuna atakaye mgusa sababu kila mtu anapenda amani nchini kwake na maisha ya wananchi wake.

Kama Russia wakianzisha vita ya nuclear mataifa mengine ni lazima yakae kimya ili kuepusha Nuclear holocaust ambayo itaangamiza dunia nzima, na hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha hicho kitu.
Ni afe mmoja au tufe wote na mpaka sasa putin ndio mtu pekee anayeonekana kuwa na will ya kudeploy nuclear na wala hajali chochote zaidi ya maslahi yake.

Mambo ya nuclear sio rahisi hivyo kwamba mimi nikipiga basi kila mtu anapiga kama manati, na kusema kwani nani hana mawe!
Hapa tunaongelea mwisho wa maisha duniani kwa ujumla au baadhi ya sehemu za dunia kuwa uninhabitable kwa mamia na maelfu ya miaka au extinction ya baadhi ya races.
 
Kwa iyo unafikiri, USA, France, UK, Italy, Germany, Israel, Poland, Netherlands, Canada, Japan, India na Pakistan wakijaribu ayo mabomu kutakuwa na usalama apa duniani
 
Hatari sana...Vipi athari zake vipi mionzi havikuleta athari?alifanyia majaribio wapi?
 
Kaka PUT IN PUT OUT
limemshuka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wazungu hii dunia ndiyo pepo yao,wapigwe nyuklia wachakae,wawe duni..yaani Kama Libya,somalia
 
Yaani apige nuclear alafu watu wakae kimya? Mond you marekani alitumia nuclear kipindi hizo nchi hazina nuclear, kwenye vita hakuna nchi inakubali unyonge hata Ukraine kaukataa ndio utaongelea nchi za Nato
 
Yaani apige nuclear alafu watu wakae kimya? Mond you marekani alitumia nuclear kipindi hizo nchi hazina nuclear, kwenye vita hakuna nchi inakubali unyonge hata Ukraine kaukataa ndio utaongelea nchi za Nato
Sawa.
Lakini hapa tunaongelea world ending catastrophe, Russia hawawezi kujaribu kupiga mataifa makubwa yenye nguvu kama marekani, lakini ana uwezo wa kupiga nchi yoyote na hayo mataifa makubwa hayatoweza kuingilia hiyo fujo sababu wanajua nini kinaenda kutokea hivyo lazima wakae kimya kwa usalama wao.

Hata hapa tu Mataifa yote yameshindwa kupinga kwa kupiga russia directly sembuse nuclear?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…