Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

Yaani apige nuclear alafu watu wakae kimya? Mond you marekani alitumia nuclear kipindi hizo nchi hazina nuclear, kwenye vita hakuna nchi inakubali unyonge hata Ukraine kaukataa ndio utaongelea nchi za Nato
Kuna watu wanafkiria kuwa Ukraine haina uwezo wa kushambulia Russia au pengine NATO haiwezi kumpa Ukraine silaha za kuharibu Russia. Wanapaswa kutambua kuwa, dhumuni kubwa la kwanza la NATO, ni kumfanya Putin achafuke duniani na Russia pia.

Kitendo cha Ukraine kushambulia Russia kitafanya Raia wengi wa Russia kumuunga mkono ktk hii anayoita operation, japo kwa undani hii ni vita kamili.

Tukirudi ktk mada yetu, Russia amekuwa ni mtu mwenye parade kuonesha silaha zake za kivita na teknolojia mpya ktk jeshi lake. Sote tumekuwa ni mashahidi kuwa sio misafara ya vifaru, ndege, magar n.k vinavyotembea Ukraine. Hii inaonesha kuwa watu wana mbadala wa kunyoosha silaha za Russia. Ndani ya hii vita Russia ametumia hypersonic missiles, watu wanamchora wanakaa kimya huku wakiendeea kumsoma vile watakavyomkabili mbeleni.

Kitu pekee mimi niaminicho ni hiki, ikitokea vita watu wakatumia nuclear, mhanga mkubwa atakuwa ni huyo huyo Mrusi.
 
Wakati US anadondosha mabomu ya nyuklia Hiroshima na Nagasaki nchi ngapi zilikuwa na teknolojia ya nyuklia kama aliyokuwa nayo US kipindi hicho? hata huyo urusi hakuwa na teknolojia ya nyuklia ya kumfikia US enzi hiyo na infact alipata info za kumsaidia kutengeneza hayo mabomu kijasusi (urusi alipiga chabo) from US hasahasa baada ya US kuwa na ile Manhattan project! kwa hiyo hakuwepo wa Kushindana na US kwa wakati huo kwenye silaha za nyuklia. Kwa sasa urusi anaogopa maana silaha za nyuklia wanazo nchi nyingi hivyo akizingua tu anazinguliwa na hicho ndicho pekee kinamuogopesha Putin otherwise angekuwa na hizi silaha peke yake angekuwa ashamaliza mchezo siku nyingi asingekubali kuadhirika ukraine lakin si rahisi afanye hivyo maana anajua akianza anamalizwa.
 
Putin hana tofauti na mbwa koko tu. Anaishia kubweka
Putin kabanwa mbavu, anatweta yaan anatamani vita iishe sasa haiishi huku vikwazo vya uchumi, huku mali imelipuliwa, yaani ndo maana hata anakaa mbali hata na washauri akiwa nao kwenye vikao maana haamini kama hawawezi mdhuru yaan zee halina amani kabisaaa
 
yeye (Urusi) ana ongoza na US anafatia ktk swala la nyuklia....
Pindi atakaporusha even single head kichwa chake kitakuwa kimeshakatwa na wote wamehusika vichwa vyao vitaliwa. Stay tune watu wamejiandaa na kama hujuwi angalia ukimya unao endelea juz wamedidimiza mel yake as alert kwake.
 
Ndio shuleni mlivyofundishwa ivyo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app

2019

2017





 
Si unajua tena wachambuzi wetu wa mipira hua wanaleta ujuaji mpk kwny Mambo ya kijeshi.
waliita operation ya siku chache ila ss hv ni miez miwili , sijui Putin kakuoa mpk unakaz fuvu ilooo
 
ulaya si bongo , mbwai mbwai tu , Ulaya hawawez kukaa kimya kizembe
 
We ndio akili huna kabisa. Unafikiri hizo Nuke zilitengenezwa ziwekwe kama mapambo? Hizo ndio fainal say, *****.
1 tu dunia yooooote inarudi kwenye mazungumzo. Sema ulaya ni wasengerema sana. Wasipokuwa makini marekani ataiingiza ulaya kwenye vita. Jambo ambalo watu wengi wa ulaya hawalitaki.
 
Hayo majaribio ya kimya kimya hata US anafanya sana,halafu hayo ni majaribio tena yalifanywa na iliyokuwa USSR na siyo hii Russia dhaifu
 
Marekani akishoboka anakula Tsar bomber😀😀😀 aende akapumzike kuzimu na NWO yao ya kueneza ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…