Urusi yatiwa hofu na inteligesia ya Marekani kuhusu uvamizi Ukraine

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
547
Reaction score
656
Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine.

Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la Russia.

Watoa taarifa wanasema upo uwezekano wa Russia kufukuza baadhi ya wataalam wake ndani ya jeshi kuhofia tu kuwa ndio wanaovujisha taarifa. Hii itapelekea kuwa na muda mwingine wa kutosha kuandaa wengine kuweza ku-operate zana muhimu
 
Watoa taarifa wanasema upo uwezekano wa Russia kufukuza baadhi ya wataalam wake ndani ya jeshi kuhofia tu kuwa ndio wanaovujisha taarifa. Hii itapelekea kuwa na mda mwingine wa kutosha kuandaa wengine kuweza ku'operate zana muhimu[emoji15][emoji3064][emoji848]
Hiyo yaweza kuwa mbinu ya kivita kuficha uhalisia
 
hakuna inchi ngumu kuipeleleza kama urusi marekani wanaangali moviment za silaha za urusi na kupima kiwango cha uvamizi
Mkuu wewe endelea kupiga majimbi na maziwa mtindi huko uliko, tuiachie Marekani ndio wanaojua namna ya kupeleleza adui zake.
 
We ndio umetiwa hofu, unafkiri FSB wajinga wajinga kama hao wenu
 
Weka link tuone warusi wamesema hivyo kweli?
 
Ukibahatika kuangalia movies za kirusi ziwe, action movies, criminal investigation, family matters, nakadhalika. Huwezi kurudi kwa movies za Hollywood.

Pia movies zilizotengenezwa Iran, ni kali mno.
Changamoto kwao ni kwamba, ukishaanza kuziangalia hizo movies za hayo mataifa mengine, unakutana na 'Hollywood influence' ndani yake!
 
Hiyo kazi inafanywa na MOSSAD kwa kushirikiana na CIA ,MOSSAD ndio shirika bora la kiupelelezi duniani hakuna taarifa zozote hasizozijua
 
Bila NATO, 🇺🇸 USA ni debe shinda haliachi kutika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…