Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 547
- 656
Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine.
Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la Russia.
Watoa taarifa wanasema upo uwezekano wa Russia kufukuza baadhi ya wataalam wake ndani ya jeshi kuhofia tu kuwa ndio wanaovujisha taarifa. Hii itapelekea kuwa na muda mwingine wa kutosha kuandaa wengine kuweza ku-operate zana muhimu