Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Putin hana huruma kabisa.Wenzako wanauawa ww umejikalia kwa amani tz. Hurumia watu wanaouawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin hana huruma kabisa.Wenzako wanauawa ww umejikalia kwa amani tz. Hurumia watu wanaouawa
Urusi kama haitaki maridhiano vile.Majadiliano kwa njia ya simu yanaendelea muda huu kat ya Rais Putin na Rais wa Uturuki na tayari Putin ametoa mapendekezo yake ili Russia isitishe vita.
Mosi, Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.
Pili, Ukraine kamwe isifikirie tena kujiunga na NATO
Tatu, Russia ikabidhiwe eneo la mashariki la nchi ya Ukraine iwe eneo lake.
Chanzo: BBC
The your father shoul be Homo habillis if not erectus.Putin is primitive!
Baba ako ndo mpumbavu mshenzi nini weyeKama kweli masharti ni hayo tu Putin mpumbavu
Umevembewa uji wa magimbi unahema juujuu unadhani Urusi ni Msumbiji? Watu wanaofanana na mawazo kama yako ndo walimvimbisha bichwa Zelensky kuwa urusi si lolote si chochote matokeo yake ndo haya ya kufumuliwaNilicheka Puti aliposema kuwa anaweza acha kupigana vita endapo tu Ukrain ataacha na kupigana sasa anataka aingie and then Ukraine aweke silaha chini kwa destruction aliyofanya baada kushindwa mbinu za vita nani amsamehe... Puti alipue tu hovyo hovyo ipo siku atachokwa ndipo atajua kuwa hajui.. uzuri ya waikraine hawana mapenzi kabisa na Putin and Russia kwa ujumla.. wao wanamsubiri tu ashambulie mji kwa mbali ila akiingia kwa miguu Russia wanaliwa live
Putin leo kasema Ukraine wanakwisha mazungumzo.Huoni watu wanauawa ndugu yangu .mm naona mashart ni mepesi ningekubari tu miji isiendelee kubomolewa
Putin alijifanya mbabe sana kwa vile amekuwa anaota sana ile heshima ya kuitwa superpower ambayo waliipotzea miaka takriba 30 iliyopita lakini yeye bado inamsumbua tu. Halafu Ukraine walikataa kushirikiana na urusi mara moja baada ya USSR kuvunjika hata lugha ya Kirusi wakaacha kuitumia rasmi, ndiyo maana Ukraine wanaongea sana kiingereza. Sasa aliposhauriwa kuwa asitumie mabavu bali wafuate diplomacy kuyamaliza, yeye akaona kuwa kwa vile ana vifaru vingi vywa udgongo wa mfinyanzi na ndege nyingi za kasuku, na askari wengi wanywa gongo, ataingis Ukraine na kuiteka siku moja tu. Akase,a eti special operation ya muda mfupi tu; yaani akaunda serikali mpya ya Ukraine kama vile ni nchi yake. Sasa ngoja apewe kipingo cha mbwa; naona sasa huyu kijana comedian wa TikTok ameanza kumsogelea matakoni iwapo jeshi linaaza kuasi na kuwaua makamanda wao wenyewe kwa wenyewe. Jeshi gani linapoteza majenerali saba na makanali zaidi ya ishirini na tano kwenye vita ya mwezi mmoja tu. Marekani ilipoteza jumla ya askari kama 7000 katika vita ya miaka 20 huko Iraq na Afghansni, wengi wao wakiwa ni kwa suicide bombing na IEDs siyo kwenye combat. Cheo cha juu cha askari wa kiimarekani aliyeuwawa ilikuwa ni captain, ambao jumla walipotea makapteni wasiozidi 40 kwa miaka yote 20. Lakini hapa siku 30 tu tayari majenerali 7 na makanali 25 wwameshafutika. Ina maana vita ikiendela kwa spid hii, baada ya mwezi mmoja jeshi la urusi litakuwa halina majenerali kabisa. Hatari ya kujiombea hiyo; Putin amesababisha jeshi zima la Urusi lidharauliwe sasa.
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na Donetsk na Luhansk kama mataifa huru.
Mbali na hayo, Peskov anasema Ukraine lazima irekebishe katiba yake na kukataa madai ya kuingia katika kambi yoyote (kama vile Nato, kwa mfano).
Anaongeza kuwa Urusi itamaliza "kuondoa jeshi" kwa Ukraine, na ikiwa masharti haya yatatimizwa hatua za kijeshi za Urusi "zitakoma mara moja".
Msemaji wa Kremlin amesisitiza kuwa Urusi haitaki kutoa madai yoyote zaidi ya eneo nchini Ukraine.
BBC swahili
🤣🤣🤣 Dada Urusi...Mashart ya kidada sana .i vita ya kijinga tu