Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.

Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.

#MaendeleoHayanaChama
Huna kitu unajua kakae pale Lumumba upewe 5k na free WiFi
 
Halafu anashambulia nchi ndogo aliyojitia ndani ya siku Tatu anaitwaa!!

Mrusi kachanganyikiwa
Ushabiki mwengine bwana ,sasa Ukraine kapewa mchango wa siraha zimefichwa ardhin wewe ulitaka atumie siraha ipi kuangamiza siraha hizo za ardhini ikiwa alishasema mukiwapa siraha hizo ndio sitakua shabaha namba 1, na pia kataka kuwathibitishia kua kufanikiwa kuingiza siraha na kuzificha kwenye hifadhi iliopo ardhin bado sio salama akawaonesha kwa vitendo kwamba popote anaweza kupiga hakuna sehem salama maana wamagharibi waliona hiyo sehemu vigumu kupigika lakin mrusi kapiga kwa kombora moja tu donation yote ikawa majivu kwa dakika ndio maana rais wa UKRAINE akaona Bora aombe mazungumzo ya haraka maana kaona kumbe hata nchi anazozotegemea bado hawazijui nguvu halisi za Urusi
 
Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.

Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.

#MaendeleoHayanaChama
Akili ya vita si kama akili ya siasa. Kama fani yako ni siasa baki kwenye siasa.
 
Tuonyeshe aliposema atachukua Ukrane ndani ya siku tatu

Screenshot_20220312-145034.png
 
Back
Top Bottom