Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

Urusi maji shingoni, ukiona ugomvi wa Ngumi mtu anakimbilia panga jua keshashindwa ugomvi
acha kujitete ,ukiingia ulingoni ujue umeingia kwenye mapambano,huwezi kumchagulia mtu ,eti kwa nn umenipiga ngumi,wakati mm saiz ni kupigwa Kofi!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Ulijua ulingoni Kuna komedi [emoji23][emoji23][emoji23], Mike iron Tyson (alikuwa haangalii unakula kifinyo tu)[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuyapiga haya mabomu, utaua na watu waliokua Askari wake. Na pia ameshajitengenezea uasi mkubwa kwa watu wa Ukraine. Kwa iyo hata akiichukua Ukraine. Kutakuwa na machafuko mengi sana

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
anachohitaji russia sio kuichukua, anataka kupandikiza mtu wake pale, na wakati huohuo awe ameteketeza kabisa nguvu za kijeshi kwa maana ya kile kiwanda cha nuklear, maeneo ya silaha etc, then atarudi zake moscow na kuishi wakati anachungulia akiona tu ujinga unataka kujengwa upya kivita anapiga kabla hawajajiimarisha then anarudi. hata wakifanya machafuko kwake hana hasara kwasababu lengo lake ni kuidistabilize kijeshi, wakichafuka watajuana wenyewe yeye yupo moscow. hana lengo la kutawala au kuifanay iwe russia kwasababu anajua jambo hili halitakuja kukubalika kwa waukraine.
 
Tuwaulize nyie aliwaambia ngapi?maana sie tulisikia tu anaanza operesheni ya kijeshi hatukusikia ya siku ngapi....... .. .....au mliweka mategemeo yenu ...............
Wamarekani hamtaki kukubali Urusi kawashika koo
 
Ukraine ni nchi ya pili kwa ukubwa baada ya Russia katika bara la Ulaya
Kama unazungumzia kieneo hapo sawa,lakini Kama ni Kijeshi Basi Ukraine haimo hata Top 5 kijeshi barani Ulaya.

Nguvu za Kijeshi sio ukubwa wa Nchi kieneo, Ukubwa wa Nchi ya DRC ni Mara 100 ya ukubwa wa Israel,lakini kijeshi DRC haiwezi hata kuchukua Round dhidi ya Israel.

Ukraine Licha ya kuwa na Eneo kubwa barani Ulaya lakini haiwezi kulinganishwa kijeshi hata na Poland. Kwahiyo hiyo sio EXCUSE YA PROLONGED WAR Ambayo inamfanya Russia ashindwe hata kuteka mji mmoja TU wa Ukraine wa Mariopul.
 
Mbumbu wanashangilia hii vita ....wakienda Sokoni wanalalamika vitu vimepanda bei kweli ujìnga ni UGONJWA
 
Kama unazungumzia kieneo hapo sawa,lakini Kama ni Kijeshi Basi Ukraine haimo hata Top 5 kijeshi barani Ulaya.

Nguvu za Kijeshi sio ukubwa wa Nchi kieneo, Ukubwa wa Nchi ya DRC ni Mara 100 ya ukubwa wa Israel,lakini kijeshi DRC haiwezi hata kuchukua Round dhidi ya Israel.

Ukraine Licha ya kuwa na Eneo kubwa barani Ulaya lakini haiwezi kulinganishwa kijeshi hata na Poland. Kwahiyo hiyo sio EXCUSE YA PROLONGED WAR Ambayo inamfanya Russia ashindwe hata kuteka mji mmoja TU wa Ukraine wa Mariopul.
nyie endeleeni tu na propaganda za magharibi,mwenzenu mambo magumu huko,na ameomba mazungumzo ya moja kwa moja na putin,na amesema hatajiunga NATO.
IMG_20220322_194545.jpg
 
nyie endeleeni tu na propaganda za magharibi,mwenzenu mambo magumu huko,na ameomba mazungumzo ya moja kwa moja na putin,na amesema hatajiunga NATO.View attachment 2160744
Hakuna anayepinga kwamba Ukraine ni dhaifu dhidi ya Urusi,na hii ni kutokana na Ukraine kutokuwa na vifaa vya kisasa. Kama unafuatilia hii vita, Basi utakubaliana na Mimi kwamba Urusi mpaka Sasa imeshindwa Vita vya Ardhini dhidi ya Majeshi ya Ukraine. Pia Ukraine imeshindwa Vita vya angani na Urusi.Ndio maana Urusi inapinga vikali Ukraine Kupewa AIR DEFENCE SYSTEMS Kutoka NATO na imetishia kuzishambulia kabla hazijafika Ukraine.Ukraine hawezi kupambana na Urusi kwenye Air Force,lakini kwenye Ground War basi Urusi kashindwa vibaya Sana.

Kipingo chote inachopata Ukraine dhidi ya Russia ni kutoka angani,Ardhini Ukraine ameweza kuyazuia Majeshi ya Urusi kuteka miji kwa wepesi Kama ilivyotarajiwa.

MAONI YANGU

VITA VYA ARDHINI

## Ukraine 70% - 30% Russia

VITA VYA ANGANI

## Ukraine 10% - 90% Russia.
 
Kama unazungumzia kieneo hapo sawa,lakini Kama ni Kijeshi Basi Ukraine haimo hata Top 5 kijeshi barani Ulaya.

Nguvu za Kijeshi sio ukubwa wa Nchi kieneo, Ukubwa wa Nchi ya DRC ni Mara 100 ya ukubwa wa Israel,lakini kijeshi DRC haiwezi hata kuchukua Round dhidi ya Israel.

Ukraine Licha ya kuwa na Eneo kubwa barani Ulaya lakini haiwezi kulinganishwa kijeshi hata na Poland. Kwahiyo hiyo sio EXCUSE YA PROLONGED WAR Ambayo inamfanya Russia ashindwe hata kuteka mji mmoja TU wa Ukraine wa Mariopul.
Unaongelea hii Israel inayo henyeshwa na makundi kama hamasi ambayo hayana hata kifaru wala mizinga?
 
Back
Top Bottom