EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huna kitu unajua kakae pale Lumumba upewe 5k na free WiFiKuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.
Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.
#MaendeleoHayanaChama
ExactlyKila silaha hutumika kulingana na target na mazingira yanayozunguka target
Ushabiki mwengine bwana ,sasa Ukraine kapewa mchango wa siraha zimefichwa ardhin wewe ulitaka atumie siraha ipi kuangamiza siraha hizo za ardhini ikiwa alishasema mukiwapa siraha hizo ndio sitakua shabaha namba 1, na pia kataka kuwathibitishia kua kufanikiwa kuingiza siraha na kuzificha kwenye hifadhi iliopo ardhin bado sio salama akawaonesha kwa vitendo kwamba popote anaweza kupiga hakuna sehem salama maana wamagharibi waliona hiyo sehemu vigumu kupigika lakin mrusi kapiga kwa kombora moja tu donation yote ikawa majivu kwa dakika ndio maana rais wa UKRAINE akaona Bora aombe mazungumzo ya haraka maana kaona kumbe hata nchi anazozotegemea bado hawazijui nguvu halisi za UrusiHalafu anashambulia nchi ndogo aliyojitia ndani ya siku Tatu anaitwaa!!
Mrusi kachanganyikiwa
Nakusihi bwana Washawasha unatukwaza sana sisi waukraine wa apa mbagala na manyoniNasisitiza Ukraine apigwe tu
Nalog off
Akili ya vita si kama akili ya siasa. Kama fani yako ni siasa baki kwenye siasa.Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.
Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Sentensi yenyewe tayari ni it's thought.......mambo mmeyawaza wenyewe mnanlisha mtu hata hajayatamka.........lishweni tu matango pori na hizo media zenu
............ Although we can't verify that independently.Hata nchi za Magharibi zimethitisha hilo kuwa wameona
Ukimuona mtoto anakukunjia ngumi wewe mtumzima, ujue anajiamini...unachotakiwa ni kumpa kipigo kikali ili siku nyingine asirudie huo utovu wa nidhamu.Nchi dhaifu hivyo ameanza kutuma vitu vikali hivyo? Anaweza kudondosha nuclear huyu Ukraine.. wakae mkao wa kula
Your right .Thanks for reminding me I forgot this sentence .I have rectified............ Although we can't verify that independently.
Kwa hiyo walisema siku ngapi basi.Sentensi yenyewe tayari ni it's thought.......mambo mmeyawaza wenyewe mnanlisha mtu hata hajayatamka.........lishweni tu matango pori na hizo media zenu
Asec2 mnyama0 manula amepunch penat ya asecYanga 1-0 KMC
Mmarekani hataki HYOPERSONIC litue kwenye ardhi yake ndio maana katulia kama hayupo kabakia kubweka kama mbwa koko.Unaonaje mmarekani na israel wakijitokeza kumsaidia ukraine?