Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20.
Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea kushika nafasi hiyo kwa miongo miwili (miaka 20) ijayo.
Data zilizotolewa na kampuni hiyo gwiji ktk utengenezaji wa silaha zinaonesha kuwa submashine gun hiyo ndio bunduki nyepesi zaidi ktk sampuli za bunduki za aina hiyo duniani kote, inakuja na uzito wa chini ya kilogramu 3 na pia ina uwezo wa kupiga risasi 800 kwa dakika 1. Vivyohivyo, rasasi hizo zinatembea kwa speed ya takriban 470 m/s na zinauwezo wa kupenya level III body armour (one of the highest armour classes for concealable, lightweight soft protection)
====