Urusi yawapatia majeshi yake bunduki bora zaidi duniani; uzito wake ni chini ya kg 3, na yapiga risasi 800/dkk (AK-47 ni 600/dkk)

Urusi yawapatia majeshi yake bunduki bora zaidi duniani; uzito wake ni chini ya kg 3, na yapiga risasi 800/dkk (AK-47 ni 600/dkk)

[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Ukraine is bankrupt, stated Volodin
[emoji3502]The taxes collected form only 40% of the country's budget.
More than 60% of the budget goes to military spending.
The monthly deficit is $5 billion. 1/2
 
Ni kweli wameondoa command post, himars zimefanya maangamizi, ila kherson itakuwa mined kuliko eneo lolote duniani, hivyo proceed cautiously
Wanatakiwa waondoshwe haraka sana kabla hawajafanya mine laying kubwa. Sikuwa naamini kama Kherson ndipo Ukraine watashambulia, nilidhani wametangaza hapo ili concentration ya majeshi ya Russia iende pale kulinda then Ukraine washambulie kwingine.
Kumbe Ukraine iliwafanya wajazane pale kisha izuie njia za kuingia na kutoka. Naona imewaachia njia ya kutokea
 
Urusi aja na kitu kingine kipya👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾

SmartSelect_20220815-144758_Chrome.jpg
 
Punguza ujinga na ujuaji, silaha zote zina matumizi yake maalumu vitani...
We ndiye mjinga bwashee hufuatilii mambo wale masniper wa Canada walikimbia vita wakilalama vita ya sasa siyo kama walivyodhani ,vita ni kulipuana hiyo nafasi ya kutumia bunduk ni mwisho kabisa ,hivi now days unawezaje kumsogelea adui kwa km 5 ,ambapo ndio range ya bunduki ,hii karne ambayo kuna drones na ndege zinazoskan adui na umbali alipo uende na bunduki ,mzee acha kujitoa ufahami au mayele kakuvuruga
 
Wapo humu waliozisifia miaka nenda rudi. Mwaka huu Russia watakosa la kusema maana miaka mingine huwa wanasingizia export versions za silaha zao zinapunguzwa makali. Sometimes hulaumu training ya majeshi yanayozitumia. Sasa mwaka huu wanazo silaha zao bora kabisa na majeshi waliyoyafundisha wao
Na nimeona baadhi ya nchi zimeanza kusitisha deal za silaha na Russia,juzi Ufilipino imesitisha kununua helicopter za Russia imeweka order USA
 
Back
Top Bottom