Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Kuna taarifa niliona Twitter Jana wameondoa command post Yao sijajua km ni kweli au laFatilia habari ya muda huu.
Warusi wameanza ondoka Kherson, viongozi wa jeshi wameondoka...
Kherson will soon be free
Hiyo ndio ile kwenye group la panya 100 ukipiga moja unaua vyoteHii angekuwa nayo Hamza wale kenge wote wa ubalozi wa ufaransa asingesalia mtu
Crrrrrr...crrrrrr amna kenge kbakiaHiyo ndio ile kwenye group la panya 100 ukipiga moja unaua vyote
Ni kweli wameondoa command post, himars zimefanya maangamizi, ila kherson itakuwa mined kuliko eneo lolote duniani, hivyo proceed cautiouslyKuna taarifa niliona Twitter Jana wameondoa command post Yao sijajua km ni kweli au la
Hii angekuwa nayo Hamza wale kenge wote wa ubalozi wa ufaransa asingesalia mtu
Hawajazitengeneza kuangulia embeKitu cha msingi, hizo lethal machines zisitumike kutoa uhai
Punguza ujinga na ujuaji, silaha zote zina matumizi yake maalumu vitani...Vita ya bunduki imepitwa na wakati ni sawa na vita ya mapanga na mishale ilivyopitwa na wakati,now days ni missiles, artery, drones,yan full kulipuana bunduk ni kama kisu tuu
Wanatakiwa waondoshwe haraka sana kabla hawajafanya mine laying kubwa. Sikuwa naamini kama Kherson ndipo Ukraine watashambulia, nilidhani wametangaza hapo ili concentration ya majeshi ya Russia iende pale kulinda then Ukraine washambulie kwingine.Ni kweli wameondoa command post, himars zimefanya maangamizi, ila kherson itakuwa mined kuliko eneo lolote duniani, hivyo proceed cautiously
We ndiye mjinga bwashee hufuatilii mambo wale masniper wa Canada walikimbia vita wakilalama vita ya sasa siyo kama walivyodhani ,vita ni kulipuana hiyo nafasi ya kutumia bunduk ni mwisho kabisa ,hivi now days unawezaje kumsogelea adui kwa km 5 ,ambapo ndio range ya bunduki ,hii karne ambayo kuna drones na ndege zinazoskan adui na umbali alipo uende na bunduki ,mzee acha kujitoa ufahami au mayele kakuvurugaPunguza ujinga na ujuaji, silaha zote zina matumizi yake maalumu vitani...
Na nimeona baadhi ya nchi zimeanza kusitisha deal za silaha na Russia,juzi Ufilipino imesitisha kununua helicopter za Russia imeweka order USAWapo humu waliozisifia miaka nenda rudi. Mwaka huu Russia watakosa la kusema maana miaka mingine huwa wanasingizia export versions za silaha zao zinapunguzwa makali. Sometimes hulaumu training ya majeshi yanayozitumia. Sasa mwaka huu wanazo silaha zao bora kabisa na majeshi waliyoyafundisha wao
Geolocation imewaumbua
Wale waporaji wenye vibali wale.?Hii angekuwa nayo Hamza wale kenge wote wa ubalozi wa ufaransa asingesalia mtu
Angewafua wote tuWale waporaji wenye vibali wale.?
RraaaaatatAa Tasha's rwaaataAngewafua wote tu
Na haziwezi kutumika kupigia puli wala kuvulia samaki.Kitu cha msingi, hizo lethal machines zisitumike kutoa uhai
Kawaida yake,anaingia mnamtoa hivyo hivyo mda wazidi kwenda,ingine ni mbinu ya kivita .Kuna taarifa niliona Twitter Jana wameondoa command post Yao sijajua km ni kweli au la