Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Long live Russia
 
Ladha haiwezi kuwa ile ile , one of the best kept secret with lots of pattent ni hiyo coca cola formula ,
Hata hapa kwetu kuna cola procucts kibao, azam cola , chemi cola , mo cola etc, lakini hazina ladha ya coca cola
mchanganyiko wote umeandikwa kwenye chupa, na ni shart ili ukaguzi ukifanyika waweze jilidhisha kilichopo ndicho kilicho andikwa kwa afya ya mtumiaji...

hakuna siri mzee...
 
mchanganyiko wote umeandikwa kwenye chupa, na ni shart ili ukaguzi ukifanyika waweze jilidhisha kilichopo ndicho kilicho andikwa kwa afya ya mtumiaji...

hakuna siri mzee...
Hauko serious bro , kwamba ukichanganya maji sukari na cola nuts unapata coca cola?

Coca cola sio kama juisi ya matunda kwamba ya nanasi itafanana , hadi leo hii ladha yake inakubalika kumefanyika expensive research na coca hawawezi disclose hiyo formula .
 
Mkuu shida ya nchi za kijamaa ni uongo ulipitiliza.

Urusi hwezi kutengeneza product za coca cola kama wao wenyewe wamekataa, anachofanya anazalisha mbadala wake, prety much the sama kama sisi huku tulivyo na azam cola au mo cola ,

Kuna miaka India aliwalazimisha coca cola watoe formula yao coca alionq bora kusiitisha uzalishaji
 
Every threat is an opportunity. Nilishangaa wakati Majirani zetu fulani walivyoleta propaganda za kukataa bidhaa zetu, tungefanya hivyo hivyo kwa kuwalazimisha matajiri wetu wenye viwanda wazalishe bidhaa sawasawa na zinazotoka huko na kuzuia za kwao. RETRIBUTIVE MEASURES
 
Nilichojifunza tuache kulakamika mtu akikuacha tafuta mpya kama yule au kumzidi yule
 
Watu waliiba formula za nuclear weapons sembuse ladha ya kinywaji [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mkuu siri za nukes zilivuja baada ya hitlers nazi scientists kuwa mateka , other wise hadi leo ingekuwa ni siri.

Halafu hizi ni biashara usichukulie poa , watu wanaweka formula siri maana ndo lifeline ya biashara yenyewe.

Huko coca cola mbali sana , KFC tu , ile recipe mixture ni top secret.
Kuku wapo viazi vipo na ngano tunayo, jaribu kupika uone kama utapata ladha ya KFC.
 
Ladha haiwezi kuwa ile ile , one of the best kept secret with lots of pattent ni hiyo coca cola formula ,
Hata hapa kwetu kuna cola procucts kibao, azam cola , chemi cola , mo cola etc, lakini hazina ladha ya coca cola
Hata mimi ndo navyo juaa
 
Yaap, na ni case study kwenye multinational corporations especially kwenye risk and management.
.
Na hii story ya coca na India inatumika sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…