Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Ukisusa wenzio wala
 
Ahaaaa kudadadeki, Dr. Shika karudi tena upya....hii si ni kampuni ya Dr. Shika jamani?
 
Inshu haoa hakuna upungufu.
Leo sisi tuko huku vijijini ndani ndani kabisaa unaweza usipate soda za makampuni ya nje lakini mo azam na wengineo wanakupa unachokitaka.

Miaka ya mwanzoni hakuna aliyetaka simu ya mchina kwa maana ya ufake...yaani wanakopi simu.
Leo hii kila mtu ana mchina.
Maana yake nini? Hata huyu Azama na Mo kadri wanavyokaa ktk soko baadaye watakuwa na recipe yao itakayokuwa tofauti.
Kwa mfano nasikiaga wengine wanataka Mo energy na hawataki za Azam.
 
Mkuu unajua kazi ya vitengo vya ujasusi kwenye makampuni makubwa ya biashara?
 
Mkuu ushazinywa ukaona zinafanana na hizo za Mo? Au ukaona hazofanani na coca?
Imitatated cola ptoducts zipo karibu kila nchi , lakini hakuna hata sehemu moja zimewahi kulingana ladha na coca cola , the assuption ipo hivo hata huko kwa putin mana sio wa kwanza kuwa na product kama hizo . Ukienda hapo tu south , karibu food chains zote wana cola products ,spar wana cola yao, shoprites wana cola yao , woolworth wana cola yao , none of those is up to par with coke.
 
Kama nyie west hamuwataki waachieni Ukraine kisha muhamie nchi za Ulaya na US.
 
Mkuu unajua kazi ya vitengo vya ujasusi kwenye makampuni makubwa ya biashara?
Kwamba wanaweza ku hack system ya Biktarvy inc na ukapata formula ya biktarvy arv ambazo haziumizi figo ?
Wenzetu wanafanya very expensive research na wanapopata mafanikio huwa wanazilinda kwa nguvu zote product zao . Sio rahisi kufanya ujasusi kwenye product zenye patents yoyote mana kesi zake haziwezekani.
 
Misimu inabadilika! Kuna bidhaa zitaitwa za kale!
 
Tunatumia vya mchina sio kwa kupenda ila uchumi. Huwezi ifananisha tecno na iphone au samsung.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…