Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhuu wewe si mkweli kwani Russia wanapiga makazi ya watu. Putin is butcherAnachofanya hapo ni kuajiri watu kutoka syria ambao wa uzoefu wa vita za mijini kwenye watu wengi na wanajeshi wanaojificha nyuma ya raia. So technically hajazidiwa ila anabadili mbinu kwa sbb adui anajificha nyuma ya raia na yeye inaonekana hataki kuangamiza raia weng kwenye hii vita ndo maana yuko slow but sure