Malengo ya NATO ni kupigana Vita na Rusia? au Akili kisoda.Halafu wakijiunga NATO watafanya nini? Kwani hao nchi 30 ambazo tayari zimejiunga NATO zimefanya nini mpaka sasa kwa urusi?
There is no turning back,enzi zile za kuwapiga mkwara na wakatii zimeshapita,Ukraine kafungua pandora box la RussiaSweden , Finland , Ukraine zote zitajiunga NATO ni suala la mda tu.
Sasa Russia anapata hofu gani kwa Ukraine kujiunga NATO? Huu mtazamo wa kuidharau NATO unao wewe tu hapaJF,wenzio pale Kremlin wanaitazama NATO kwa jicho tofauti kabisa,vinginevyo wasingeingia vitani kuizuia Ukraine isijiungeHalafu wakijiunga NATO watafanya nini? Kwani hao nchi 30 ambazo tayari zimejiunga NATO zimefanya nini mpaka sasa kwa urusi?
Na Mrusi nimeshamuona hatafanya kitu atabaki analia lia tu wameshamuona ni dhaifu sana...Pale Ukraine alitakiwa aonyeshe nguvu yake kwa kupiga na kusambaratisha kila kitu ndani ya week 2 halafu aseme nani anabisha sasa aje!!!!...Sasa kalegea kama mlenda anarudi nyuma hovyo kabisa....yaani Putin umetutia aibu sana kabisa....Sweden , Finland , Ukraine zote zitajiunga NATO ni suala la mda tu.
Umesema kitu cha maana sana Mkuu,wakati ya Ukraine bado yanamtoa jasho anataka kurukia kwingine,huo uwezo wa kupigana kote kwa wakati mmoja hanaAmeanza kulewa sifa Mzee wetu Putin.
Atulie aendeleze kipigo pale Ukraine paishe.
Asijikute Mwanaume sana kuvimba vimba watamtia Kidole huko mbeleni kama hatumii akili yake vizuri.
Wahuni walikuwa wengi tu kama yeye huko nyuma.Ni muda tu uliwasubiri.
Aile Ukraine tujisifie kwa hapo.
Likivuma sana hupasuka.
Khofu yake nikama ile alokua nayo US pale CUBASasa Russia anapata hofu gani kwa Ukraine kujiunga NATO? Huu mtazamo wa kuidharau NATO unao wewe tu hapaJF,wenzio pale Kremlin wanaitazama NATO kwa jicho tofauti kabisa,vinginevyo wasingeingia vitani kuizuia Ukraine isijiunge
kiduku ameandaliwa kupiga washngtn... ndio maana marekani amekuwa mpole... huku hajui china atapiga wapi.... hahahahahahahahUlaya akiingia vitani na urusi, US kama kawaida atakaa pembeni, atajibagaza kwa kupeleke visilaha uchwara kama anavyofanya Ukraine. Us ni waoga sana wa vita nyumbani kwao.
Ni kichaa peke yake ndiyo anaweza amini hilo na hasa baada ya kuona mapungufu yao makubwa kule Ukraine.Huo uwezo kamwe hawanaYaani watu wanaamini Urusi inaweza ikapigana vita pande zote na kila mtu.
Yale mambo yake ya Ukomunist uliyofail ndiyo anataka kuyaleta kwa Dunia ya sasa.Keshashindwa vibaya sanaTatizo la urusi wanashindwa kuenda na wakati wao wanataka kuilazimisha dunia iishi kama mwaka 47
Kama hawana lolote mbona Putin anabweka hovyo?Halafu wakijiunga NATO watafanya nini? Kwani hao nchi 30 ambazo tayari zimejiunga NATO zimefanya nini mpaka sasa kwa urusi?
Mrusi wa Songambele Inyonga Katavi unaijua Marekani kuliko wanavyoijua UlayaNa Marekani nchi ambayo haipo ulaya ndio inachagiza hizo nchi zijiunge.halafu baadae ziingie vitani na Urusi Kisha zibaki magofu Huku Marekani ikifurahi kwamba Sasa Urusi itadhoofika.
Aisee sikujua kumbe wazungu ni wajinga pia.
Hapa sioni nchi hata moja ya ulaya ikizichagiza nchi hizi.
Balance gani kwa mtu asie na uchumi wala ushawishiPutin anataka ku restore legacy ya Soviet..
Kwamba dunia haiwezi kusonga mbele kwa pande moja tu ya watu wa Magharibi ..kufanya hivyo kutakosa balance na ndiyo maana Putin anasimama kuzuia hilo...
kaka ongea taratibu wa soviet wa humu wasikusikie.Balance gani kwa mtu asie na uchumi wala ushawishi
halafu unajiita brown jina asili ya westUna umri wa miaka 17?!!! 😲😲🤣