Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

Tatizo la urusi wanashindwa kuenda na wakati wao wanataka kuilazimisha dunia iishi kama mwaka 47
Mataifa yapi yamelazimishwa na Russia kufuata mfumo wao wa maisha, kama sio sisi kulazimishwa na western kufuata matakwa yao?
Haya sisi tunaokwenda na wakati tunafikia hata robo ya Russia?
 
Tatizo la urusi wanashindwa kuenda na wakati wao wanataka kuilazimisha dunia iishi kama mwaka 47
Ulishaona Urusi ina interest zozote ukanda wa Africa zaidi ya nchi za magharibi? Sasa umekwama wapi na wewe ni mfuasi wa magharibi wa kwenda na wakati?
Wenzio walishatoka standard gauge hundreds years ago, wew hadi sasa hata test bado, unasema unaenda na wakati, acha matusi kaka.
 
Ila Putin sasa anajifanya mtemi wa Dunia aisee - yaani anazipa mkwara hadi Nordic Countries ? hii sasa imepitiliza.

Sasa mi nachojua ni suala la muda tu hizi nchi zitajiuna na NATO - na atafanya mataifa mengine ya Ulaya mashariki nayo kujiunga sababu jamaa haaminiki tena.

Kupigana vita ukiwa peke yako ni kazi ngumu - Mchina na Mkorea Kaskazini si wa kutegemea asilimia mia, hawakawii kukuacha chaka hasa mchina.
 
Na Mrusi nimeshamuona hatafanya kitu atabaki analia lia tu wameshamuona ni dhaifu sana...Pale Ukraine alitakiwa aonyeshe nguvu yake kwa kupiga na kusambaratisha kila kitu ndani ya week 2 halafu aseme nani anabisha sasa aje!!!!...Sasa kalegea kama mlenda anarudi nyuma hovyo kabisa....yaani Putin umetutia aibu sana kabisa....

Nadhani Finland wameona udhaifu wa Urusi.
 
Hongera sana putin,
Hao wazungu mpaka waparaganyike woooote,
Wewe endelea tu sisi tuko nawe bega kwa bega

Urusi angeiteka Ukraine ndio angepata ujasiri wa kuikoromea Finland. Sasa mpaka Sasa hivi anahangaika na ule msafara wake wa vifaru ameishindwa Kiev , watamsumbua Sana. Kila Jirani unantishia umekua Nani?. Aende zake huko.
 
Mataifa yapi yamelazimishwa na Russia kufuata mfumo wao wa maisha, kama sio sisi kulazimishwa na western kufuata matakwa yao?
Haya sisi tunaokwenda na wakati tunafikia hata robo ya Russia?

Nani ana muda na urusi. Western ndio kila kitu. Kwanza warusi Ni wabaguzi hatari kwa ngozi nyeusi. Watu wanaikanja Western wakati wamejaa kwenye Visa ubalozini.
 
Ulishaona Urusi ina interest zozote ukanda wa Africa zaidi ya nchi za magharibi? Sasa umekwama wapi na wewe ni mfuasi wa magharibi wa kwenda na wakati?
Wenzio walishatoka standard gauge hundreds years ago, wew hadi sasa hata test bado, unasema unaenda na wakati, acha matusi kaka.

Hana ushawishi wowote kwa nchi za kiafrica ndio maana hakuna mwenye muda naye. USA na China ndio masters of the international system, Urusi Hana chochote zaidi ya kutishia nuclear.
 
Umewahi kusikia Putin anaongea? Au unamchanganya na Zelensky wa Ukraine...rais comedian

Anaongea kila siku mbona, Hadi kamuua mkuu wa Foreign intelligence aliyekaonesha kutokukubaliana na uvamizi wake Ukraine.

Halafu acha dharau. Unamwita Rais Zelesky Comedian, wakati kamdindia huyo dictator wenu mpaka leo. Yani Ukraine inamtoa jasho ataiweza US? Pumbavu kweli.
 
Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya.

Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'.

Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba uanachama mapema Juni, 2022 ili kuifanya Nato izidi kukua.

Ikulu ya Marekani inaunga mkono mpango huo ambao utaifanya Nato kufikisha wanachama 32. Wiki iliyopita mazungumzo yalifanyika kati ya viongozi wa Nato na mawaziri wa mambo ya nje wa Helsinki na Stockholm kuhusu mipango hiyo.

Source: BBC
===

Ukraine War: Russia warns Sweden and Finland against Nato membership


Russia has warned Finland and Sweden against joining Nato, arguing the move would not bring stability to Europe.

Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters that "the alliance remains a tool geared towards confrontation".

It comes as US defence officials said Moscow's invasion of Ukraine has been a "massive strategic blunder" which is likely to bring Nato enlargement.

US officials expect the Nordic neighbours to bid for membership of the alliance, potentially as early as June.

Washington is believed to support the move which would see the Western alliance grow to 32 members. US State Department officials said last week that discussions had taken place between Nato leaders and foreign ministers from Helsinki and Stockholm.

Before it launched its invasion, Russia demanded that the alliance agree to halt any future enlargement, but the war has led to the deployment of more Nato troops on its eastern flank and a rise in public support for Swedish and Finnish membership.

Finnish MPs are expected to receive a security report from intelligence officials this week, and Prime Minister Sanna Marin said she expects her government "will end the discussion before midsummer" on whether to make a membership application.

Finland shares a 1,340km (830 miles) long border with Russia and has been rattled by the invasion of Ukraine.
Twenty middle fingers to Vladmir Putin
 
Na Marekani nchi ambayo haipo ulaya ndio inachagiza hizo nchi zijiunge.halafu baadae ziingie vitani na Urusi Kisha zibaki magofu Huku Marekani ikifurahi kwamba Sasa Urusi itadhoofika.
Aisee sikujua kumbe wazungu ni wajinga pia.
Hapa sioni nchi hata moja ya ulaya ikizichagiza nchi hizi.
Huwezi kuitenganisha Marekani na nchi za Ulaya, 80% ya wazungu waliopo ? Marekani ni descendants wa European immigrants.
 
Mkuu kwa Technologia ya sasa vita ya tatu itaiacha dunia mahali pabaya mno..itakuwa ni nuclear war.. hata sisi Africa baadhi ya makombora yatapotezwa na kutua huku..

No one will be safe...usiombe kabisa kitu hii itokee...bara la Africa litakuwa la kwanza kupotea maana hatuna mifumo madhubuti ya ulinzi wa anga letu.
Nyie marais wenu si wanasema mpo kwenye dona kantres , sasa wasiwasi wa nini ?
 
Back
Top Bottom