Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
NATO si walisema watailinda Ukraine. Mbona unajisahaulisha?Nchi gani ya NATO umesikia imepata shambulio lolote kutoka Russia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NATO si walisema watailinda Ukraine. Mbona unajisahaulisha?Nchi gani ya NATO umesikia imepata shambulio lolote kutoka Russia ?
Russia si alisema hataivamia Ukraine,NATO si walisema watailinda Ukraine. Mbona unajisahaulisha?
Unayesema wengine wajinga ndio utakuta pale kwako tu hauna hata choo unajisaidia tu kwenye kichaka kilicho jirani.Na Marekani nchi ambayo haipo ulaya ndio inachagiza hizo nchi zijiunge.halafu baadae ziingie vitani na Urusi Kisha zibaki magofu Huku Marekani ikifurahi kwamba Sasa Urusi itadhoofika.
Aisee sikujua kumbe wazungu ni wajinga pia.
Hapa sioni nchi hata moja ya ulaya ikizichagiza nchi hizi.
Hii vita ilioko hapa ya kupambana na wa ukraine weusi unafikiri ni ndogo?Nenda kajiunge kule vitani upambane! Sio unasema Uko nae bega kwa bega huku uko nyuma ya keyboard
Haimaanishi makombora yatapita juu yetu mkuu urusi na marekani ni karibu mno nadhani wanadifer kama kilometa 50 tu.Mkuu kwa Technologia ya sasa vita ya tatu itaiacha dunia mahali pabaya mno..itakuwa ni nuclear war.. hata sisi Africa baadhi ya makombora yatapotezwa na kutua huku..
No one will be safe...usiombe kabisa kitu hii itokee...bara la Africa litakuwa la kwanza kupotea maana hatuna mifumo madhubuti ya ulinzi wa anga letu.
Mimi nlitaka kukukumbusha kuwa kigezo cha watu weusi kuuwawa🇺🇸🇺🇸 kwa kupigwa risasi isipelekee Ku genenalize kuwa hakuna nchi ya kibaguzi kama 🇺🇸.so who raised mada ya kibaguzi?
Sasa mim naweza nikakwambia hakuna watu wabaguzi Duniani kama Wayahudi.
Kwa muda wako utaniuliza kwanin nimewa appoint Wayahudi
Mim mwenyewe ishanikuta babu, niliwekewa mguu wa kuku na black American kwa head, afu ilikua majira ya winter, nilinyangànywa kila kitu .Mimi nlitaka kukukumbusha kuwa kigezo cha watu weusi kuuwawa🇺🇸🇺🇸 kwa kupigwa risasi isipelekee Ku genenalize kuwa hakuna nchi ya kibaguzi kama 🇺🇸.
USA watu kumiliki siraha ni swala la kawaida sana . nafikiri ni chi ambayo RAIA wake wengi wanamiliki siraha za moto .sasa katika mazingira hayo utaona kuwa swala la mauaji ni kitu ambacho hakikwepeki .
Jamaa wanauana sana hadi marais kibao wameuawa kwa kupigwa risasi na RAIA. Sema issue inakuja anapopigwa black watu mnahusisha na ubaguzi wa rangi.
Kuna mtanzania mwaka Jana kamuua black mwenzie huko
🇺🇸🇺🇸 je ulisikia kelele na maandamano kutoka kwa black wenzie?
duu . pole sana mkuu 🤔🤔🤔 ilikuwaje mwaga ubuyu uliponajeponaje ?.Mim mwenyewe ishanikuta babu, niliwekewa mguu wa kuku na black American kwa head, afu ilikua majira ya winter, nilinyangànywa kila kitu .
Sio hapo tu, had SouthAfrica samesame.
Hongera Pro Russia uliye huko Russia karibu na Putin mnaojua cha kufanya.Endelea kumshauri zaidi.Pro US from namtumbo unampa maelekezo Putin kwamba yeye hajui anafanya nini?
Unayesema wengine wajinga ndio utakuta pale kwako tu hauna hata choo unajisaidia tu kwenye kichaka kilicho jirani.
Kipindupindu, typhoid na UTI ni magonjwa uliyofunga nayo ndoa, hata neti tu ya kuzuia mbu unapewa msaada kisha ukishatunisha tumbo kwa ugali na kisamvu unakuwa na jeuri ya kusema wengine wajinga. Africa No Good.
Napenda vita mno ...kwa takribani mwezi kwa Uwezo wa Russia Ukraine ilipaswa iwe imeisha.Umesema kitu cha maana sana Mkuu,wakati ya Ukraine bado yanamtoa jasho anataka kurukia kwingine,huo uwezo wa kupigana kote kwa wakati mmoja hana
Mungu mkubwa mkuu.duu . pole sana mkuu 🤔🤔🤔 ilikuwaje mwaga ubuyu uliponajeponaje ?.
duuh hatari . pole sana mwamba. Kikubwa u hai. 🙏🙏🙏🙏Mungu mkubwa mkuu.
Kwanza nilizimia kabisa, maana walikuja kunipush nje ya gali likiwa kwenye motion, kama wanatupa mzigo vile. Kuja kuzinduka baridi ishanitandika vibaya mno. acha tu mkuu
Na masikini ni mtu anayeshindwa kubadili rasilimali alizonazo kuwa pesa, Urusi pamoja na rasilimali zote alizonazo lakini anazidiwa uchumi na South Korea.Tajiri ni mtu anayeweza kutumia rasilimali zake mwenyewe alizonazo na kuzibadili kuwa pesa. Sasa hao US wanatumia rasilimali zao au wamekua majambazi/wanyangànyi?
Hiv unajua US ashafikia peak of Oil production since miaka ya 1970? From there akisikia vinchi vingine vyenye mafuta anavivamia kijeshi kwa manufaa ya industries zake?
😂😂 et wa🇺🇦🇺🇦Hii vita ilioko hapa ya kupambana na wa ukraine weusi unafikiri ni ndogo?
[emoji1787], Daah! Ndiyo àkili ya mbongo hiyoNenda kajiunge kule vitani upambane! Sio unasema Uko nae bega kwa bega huku uko nyuma ya keyboard
Hapo kwa mchina napigia mstari,hakuna rafiki paleIla Putin sasa anajifanya mtemi wa Dunia aisee - yaani anazipa mkwara hadi Nordic Countries ? hii sasa imepitiliza.
Sasa mi nachojua ni suala la muda tu hizi nchi zitajiuna na NATO - na atafanya mataifa mengine ya Ulaya mashariki nayo kujiunga sababu jamaa haaminiki tena.
Kupigana vita ukiwa peke yako ni kazi ngumu - Mchina na Mkorea Kaskazini si wa kutegemea asilimia mia, hawakawii kukuacha chaka hasa mchina.
Acha uzushi hv kunanchi gan nje yabara la afrika ambako mweusi anaheshimika kama US japo mapungufu yapo, wamefikia had kutoa rais mweny asil yaweusi, wapo mastaa kibao kwenye nyanja mbalmbal niblacks hii huwez kuikuta popote huko urussi, china, india au uarabunBlack American walio uawa USA wameuliwa na Russian? Critical cases ngapi za kibaguzi zimetokea USA na serikali zao zimekaa kimya?
Kama hujui sasa ndio nakufungua US kuna ubaguzi kuliko nchi yoyote duniani, kuna majimbo mengine ukipita kupigwa shaba ni halali.
Huwezi jua priorities zake nin? Ndio maana hadi sasa nchi yenye reserve kubwa ya natural resources ni Russia ikifuatiwa na Afghanistan kama data hazijabadilika. Hiyo ni according to CIA data kwa mwaka wa 2014.Na masikini ni mtu anayeshindwa kubadili rasilimali alizonazo kuwa pesa, Urusi pamoja na rasilimali zote alizonazo lakini anazidiwa uchumi na South Korea.