Haaa watz buana.
Unaiita Urusi masikini lakini hapo ulipo unaugulia maumivu ya Urusi kuwa vitani.
Una sema Urusi ni maskini wakati asilimia 90 ya silaha zinazo kulinda wewe na taifa lako zina toka Urusi.
Unasema Urusi ni maskini wakati uchumi wa taifa lako ni sawa na asilimia 2 tu ya Uchumi wa Urusi.
Una sema Urusi ni maskini wakati ina tengeneza kuanzia ndege,magari,silaha za kila aina,vifaa vya Umeme, ni msambazaji wa chakula mkubwa duniani,msambazaji mkubwa wa nishati duniani tena kwa kutumia makampuni yake yenyewe, ndio msambazaji mkubwa wa mbolea duniani, wakati nchi yako hata kujenga vyoo shuleni imeshindwa.
Leo benki ya dunia imetoa tahimini ya kwamba biashara na Uchumi wa dunia utaporomoka kutokana na Urusi kuwa vitani.
Ila anatokea mla mkande mmoja kutoka ukerewe asiye jua kesho atakula nn yeye na familia yake anasema Russia ni Masikini.
Sasa tukikuita punguani tutakuwa tume kuonea?