Mataifa yapi yamelazimishwa na Russia kufuata mfumo wao wa maisha, kama sio sisi kulazimishwa na western kufuata matakwa yao?Tatizo la urusi wanashindwa kuenda na wakati wao wanataka kuilazimisha dunia iishi kama mwaka 47
Ulishaona Urusi ina interest zozote ukanda wa Africa zaidi ya nchi za magharibi? Sasa umekwama wapi na wewe ni mfuasi wa magharibi wa kwenda na wakati?Tatizo la urusi wanashindwa kuenda na wakati wao wanataka kuilazimisha dunia iishi kama mwaka 47
Umewahi kusikia Putin anaongea? Au unamchanganya na Zelensky wa Ukraine...rais comedianKama hawana lolote mbona Putin anabweka hovyo?
[emoji23][emoji23] watamvamia kama nzigekaka ongea taratibu wa soviet wa humu wasikusikie.
Uzuri Putin hua hatanii. Atawawasha missile moja kwisha.
Na Mrusi nimeshamuona hatafanya kitu atabaki analia lia tu wameshamuona ni dhaifu sana...Pale Ukraine alitakiwa aonyeshe nguvu yake kwa kupiga na kusambaratisha kila kitu ndani ya week 2 halafu aseme nani anabisha sasa aje!!!!...Sasa kalegea kama mlenda anarudi nyuma hovyo kabisa....yaani Putin umetutia aibu sana kabisa....
Uzuri Putin hua hatanii. Atawawasha missile moja kwisha.
kiduku ameandaliwa kupiga washngtn... ndio maana marekani amekuwa mpole... huku hajui china atapiga wapi.... hahahahahahahah
Hongera sana putin,
Hao wazungu mpaka waparaganyike woooote,
Wewe endelea tu sisi tuko nawe bega kwa bega
Mataifa yapi yamelazimishwa na Russia kufuata mfumo wao wa maisha, kama sio sisi kulazimishwa na western kufuata matakwa yao?
Haya sisi tunaokwenda na wakati tunafikia hata robo ya Russia?
Ulishaona Urusi ina interest zozote ukanda wa Africa zaidi ya nchi za magharibi? Sasa umekwama wapi na wewe ni mfuasi wa magharibi wa kwenda na wakati?
Wenzio walishatoka standard gauge hundreds years ago, wew hadi sasa hata test bado, unasema unaenda na wakati, acha matusi kaka.
Umewahi kusikia Putin anaongea? Au unamchanganya na Zelensky wa Ukraine...rais comedian
Twenty middle fingers to Vladmir PutinUrusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya.
Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'.
Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba uanachama mapema Juni, 2022 ili kuifanya Nato izidi kukua.
Ikulu ya Marekani inaunga mkono mpango huo ambao utaifanya Nato kufikisha wanachama 32. Wiki iliyopita mazungumzo yalifanyika kati ya viongozi wa Nato na mawaziri wa mambo ya nje wa Helsinki na Stockholm kuhusu mipango hiyo.
Source: BBC
===
Ukraine War: Russia warns Sweden and Finland against Nato membership
Russia has warned Finland and Sweden against joining Nato, arguing the move would not bring stability to Europe.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters that "the alliance remains a tool geared towards confrontation".
It comes as US defence officials said Moscow's invasion of Ukraine has been a "massive strategic blunder" which is likely to bring Nato enlargement.
US officials expect the Nordic neighbours to bid for membership of the alliance, potentially as early as June.
Washington is believed to support the move which would see the Western alliance grow to 32 members. US State Department officials said last week that discussions had taken place between Nato leaders and foreign ministers from Helsinki and Stockholm.
Before it launched its invasion, Russia demanded that the alliance agree to halt any future enlargement, but the war has led to the deployment of more Nato troops on its eastern flank and a rise in public support for Swedish and Finnish membership.
Finnish MPs are expected to receive a security report from intelligence officials this week, and Prime Minister Sanna Marin said she expects her government "will end the discussion before midsummer" on whether to make a membership application.
Finland shares a 1,340km (830 miles) long border with Russia and has been rattled by the invasion of Ukraine.
Nchi gani ya NATO umesikia imepata shambulio lolote kutoka Russia ?Halafu wakijiunga NATO watafanya nini? Kwani hao nchi 30 ambazo tayari zimejiunga NATO zimefanya nini mpaka sasa kwa urusi?
Huwezi kuitenganisha Marekani na nchi za Ulaya, 80% ya wazungu waliopo ? Marekani ni descendants wa European immigrants.Na Marekani nchi ambayo haipo ulaya ndio inachagiza hizo nchi zijiunge.halafu baadae ziingie vitani na Urusi Kisha zibaki magofu Huku Marekani ikifurahi kwamba Sasa Urusi itadhoofika.
Aisee sikujua kumbe wazungu ni wajinga pia.
Hapa sioni nchi hata moja ya ulaya ikizichagiza nchi hizi.
Nyie marais wenu si wanasema mpo kwenye dona kantres , sasa wasiwasi wa nini ?Mkuu kwa Technologia ya sasa vita ya tatu itaiacha dunia mahali pabaya mno..itakuwa ni nuclear war.. hata sisi Africa baadhi ya makombora yatapotezwa na kutua huku..
No one will be safe...usiombe kabisa kitu hii itokee...bara la Africa litakuwa la kwanza kupotea maana hatuna mifumo madhubuti ya ulinzi wa anga letu.
Kurusha mabomu popote pale kama Iraq ili baadae muanze kulia?Kweli yeye atakuwa anarusha tu makombora kwa majirani zake. Mjinga wa mwisho huyo. Anataka kuturudisha enzi za ukoloni. Mbona Ukraine imemshinda amerudi nyuma.
Ametuaibisha Sana, tulijua anachukua nchi nzima ndani ya wiki, amebaki kukimbia.
Kaka kuna cha dona kantri ama kudanganyana tu, mzee mwenyewe wa eti dona kantri kashatoka nduki katuachia mayeso bila chuki hukuNyie marais wenu si wanasema mpo kwenye dona kantres , sasa wasiwasi wa nini ?