Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

Vipi ubaguzi wa warusi na wachina dhidi ya mtu mweusi wanaeamini kuwa ni nyani. Umewahi kuona mtu mweusi anapocheza mpira Russia vitimbi anavyofanyiwa.
 
Na masikini ni mtu anayeshindwa kubadili rasilimali alizonazo kuwa pesa, Urusi pamoja na rasilimali zote alizonazo lakini anazidiwa uchumi na South Korea.
Anazidiwa GDP na Calfornia
 
Russia au China mtu mweusi hawezi kuruhusiwa hata kufanya kazi ya usafi kwenye choo cha stendi iwe ni Moscow au Beijing kwa sababu wanafahamu huyo sio binadamu ila ni linyani fulani tu vile. Hao siyo watu ila ni wanafiki wakubwa.
Dr shika alikua Dr pale Russia pia alikua anamiliki kampuni ya madawa na chemicals ya lancefort. Familia ya GSM wana kampuni pale china inayoingiza na kutoa bidhaa duniani.. tukiwaambia nyinyi ni mbumbumbu mnazani tunawatukana.
 
Russia au China mtu mweusi hawezi kuruhusiwa hata kufanya kazi ya usafi kwenye choo cha stendi iwe ni Moscow au Beijing kwa sababu wanafahamu huyo sio binadamu ila ni linyani fulani tu vile. Hao siyo watu ila ni wanafiki wakubwa.
Kwa hiyo waafirika wanao ishi Urusi na China huwa unawalisha ww na baba yako sio?
 
Vipi ubaguzi wa warusi na wachina dhidi ya mtu mweusi wanaeamini kuwa ni nyani. Umewahi kuona mtu mweusi anapocheza mpira Russia vitimbi anavyofanyiwa.
Sijasikia binafsi ubaguzi kwa wacheza soka Russia au Uchina, nachokumbuka mchezaji mmoja wa enzi hizo Thiery Henry ndio aliwahi kufanyiwa vitu kama hivyo lakini haikua Russia wala China.
 
Mkizidiwa hoja mnakimbilia kwenye ushoga.
Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…