Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Mbona nchi nyingine hazisemi au ubalozi ulioko Tanzania ni wa Marekani tu, shyenzy kabisa
 
'Sir', Election officials are conducting the 'business' related to our coming 28/10/2020 general election based on the Tanzania 'General Election' ACT and its related regulations. Please, 'Sir', be calm and watch how we Tanzanians are handling our own issues with relaxed and peaceful mind!
 
Kwani unafikiri atafanya nini? Sisi tunajitambua, we do not give a shit about USA labda wewe..
Hayo yangesemwa na Magufuli watu wangeelewa ni kwa kuwa hajui lughà kama wewe aliyotumia Balozi bali yangekuwa si maneno ya kupuuza kwa kuwa ni Rais lakini yakisemwa na vilaza wa bure elimu ya Magufuli hata Balozi apuuze tu maana bado mgeni ataona na kusikia mengi.
 
Ustaarabu?

Kuficha hisia ni unafiki.

Mwambie balozi wa nchi yako atoe ushauri wa bure kwa USA halafu uone kama hajaonekana JNIA kama yalivyomkuta Darroch.
Hao jamaa ni wa diplomasia makini.
Unasena sawa mzee na unaondoka zako!

Saddam alijidai kwenda nao sambamba na kula sabani moja.
walichomfanya na wewe unskijua.
 
Marekani si ndo wanakuta Kura zao kwenye madust-bin uchaguzi huu..wao wenyewe uchaguzi wao unaelekea kuwashinda...they should just back off. Let there be an organic revolution not there be a foreign one
 
🤣🤣🤣🤣
 
How can you compare a bitch with an anointed one Tundu Antiphas Lissu a survival of 16 bullets???
Both are failed propagandist with no vision...Don't waste your time with failures Buddy, October 28th go to the polling station and VOTE FOR MAGUFULI.

You won't regret voting for JPM I can guarantee you.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kila mtu atabeba mzigo wake
 
This is interference in the political processes of a host nation.

It is contrary to Vienna Convention on Diplomatic Relation which both USA and Tanzania are signatories.

The representative of a sending state should be aware of circumstances which can lead to the host nation declare persona non grata status which can happen anytime.

To have diplomatic immunity doesn't mean you do everything in a host country including "actively" meddling with it's politics.
 
Upuuzi wa Kiwango cha lami

Mi Afrika tabu sana.......


Misaaada.......Misaaada

utakuja simamiwa mpaka chumbani kwako na kupangiwa masharti na hao Matajiri wenu

Bwege kabisa
 
Hayo
Wenye figisu ni hao wanaosambaza habari za chuki na kuchochea hofu mkuu
Tume inafanya kazi zake kwa weledi mkubwa na inasikiliza wananchi na kutatua matatizo kila mara
Hayo ukiyoandika ni tabia na maneno ya ZIMWI LINALOTUJUA. CCM NI ZIMWI LINALOTUJUA. linataka kuendelea kututafuna vizazi kwa vizazi. Sasa Basi!!!!!!
 
Tokea lini misaada ikawa na msaada na Afrika yetu......?!!!!

Natamani kabisa
Ifike kipindi,tusipate hata msaada wa sindano...ili akili ya kujikomboa wenyewe tuipate kwa nguvu na jasho la damu

Hakuna kitu kibaya kwa Bara la Afrika,kama kitu kinachoitwa Misaada

Tujifunze kujisaidia wenyewe kwa wenyewe

Hakuna namna

Lau tutaendelea kupiga kelele na misaada yao na kuishangilia

Nina hakika
Hakuna ukombozi kwa Mwafrika

Tuache kuwa tegemezi

Tutafute Solution sisi wenyewe,na tukubali kufunga Mikanda
 
Huu uchaguzi kwa kweli mgumu sana 🤣🤣🤣🤣 mpaka mgombea wa CCM Siha anawauliza wananchi “wangapi watampa mgombea wetu wa uraisi Corona?” Wakati anamwombea rais kura live leo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndo maana wapumbavu kama nyie tunawaita wasaiti na vibaraka wa wazungu. Tanzania ikipewa vikwazo kenge kama nyie mnafaidika na nini? Aswa watakao umia ni masikini,wagonjwa wa HIV wanaotegemea ARV nk.
 
Ndo maana wapumbavu kama nyie tunawaita wasaiti na vibaraka wa wazungu. Tanzania ikipewa vikwazo kenge kama nyie mnafaidika na nini? Aswa watakao umia ni masikini,wagonjwa wa HIV wanaotegemea ARV nk.
Naona ujumbe umeingia mpaka kwenye mfupa.Vumilia tu.Pole sana!
 
Upuuzi wa Kiwango cha lami

Mi Afrika tabu sana.......


Misaaada.......Misaaada

utakuja simamiwa mpaka chumbani kwako na kupangiwa masharti na hao Matajiri wenu

Bwege kabisa
Unatukana huku kila siku mnategemea misaada kutoka kwa hao hao.Ungekuwa na hoja kama misaada tungekuwa tumeikataa miaka 59 baada ya uhuru.MATAGA hamna akili kabisa!
 
We na wenzio ndo mnasafari ndefu 2025 sio leo mna haja ya kuvumilia na kufunga mkanda kwelikweli. traitors!!
Mmebaki na propaganda uchwara tu hamna jipya!!Kuna wasaliti zaidi ya wanaiongiza nchi katika mikataba ya siri kwa manufaa yao?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…